Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You know what....mii miuaji na yenyewe ikipatikana iuliwe tu.
I support this..... Pia wabakaji na walawiti watoto wauawe kabisa.
Sioni relevance ya mauaji kuhusishwa na uwaziri au ubunge. Uwaziri wa Masha kimaadili na kikatiba haumpi fursa ya kulipendelea jimbo lake.
Mauaji ya albino ni swala linalohitaji kupigwa vita ya kweli nasi sote, tusiruhusu mauaji haya yatumiwe na yeyote yule kisiasa.
Nani anataka kusiasisha mauji ya albino? Cha muhimu kuangalia ni kama mti mkavu watendewa hivi, itakuwaje kwa mbichi? Masha lazima awe spoted kwa tukio hili kama waziri wa usalama wa raia. Polisi imefanya nn kutokomeza uovu huu sikitishi?
......
Wilaya ya Nyamagana inahusisha pia jimbo la uchaguzi la Nyamagana ambalo linaongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lawrence Masha. Jeshi la Polisi liko chini ya Waziri huyo. MM
1.Masha kama waziri wa mambo ya ndani na si kama mbunge, kwahiyo ubunge wake hauhusiki na hili.
2.Nadhani tusiwe watu wa kulaumu tu, polisi wanajitahidi kuzuia uovu huu ingawa ni kweli kuwa utendaji wao sio perfect.
3. Kaniki, iwapo wewe sasa hivi tukikupa uwaziri wa mambo ya ndani utafanya nini tofauti na Masha juu ya swala la albino?
4.Iwapo utakuwa mbunge na waziri wa mambo ya ndani unaweza kuhakikisha jimboni kwako hakuna uovu unaotendeka? kwa njia gani?
Nitaunda kikosi maalum cha kufuatilia mauaji ya albino. Itakuwa one of our top and serious agendae. Tutachunguza na kuzichukulia hatua madhubuti taarifa za uuaji huu. Kwa kifupi nitatangaza vita kali ya kuwasaka wauaji....kama walivyojaribu kupunguza ujambazi JK alipoanza kazi.
Hawa watu wanafanya hivi kwa namna moja au nyingine kwa udhaifu wa jeshi letu la polisi na mikakati yake kwa sasa.
Appoint me Sir....;-)
Sioni relevance ya mauaji kuhusishwa na uwaziri au ubunge. Uwaziri wa Masha kimaadili na kikatiba haumpi fursa ya kulipendelea jimbo lake.
Mauaji ya albino ni swala linalohitaji kupigwa vita ya kweli nasi sote, tusiruhusu mauaji haya yatumiwe na yeyote yule kisiasa.
Malafyale; Jamani kama mnakumbuka vyema miezi 2 tu iliyopita raia wa Marekani alikamatwa na ma-pirates wa kisomali eti USA iwape fedha ndipo imuachie said:Hizi habari za kuuawa ma-albino kwa imani za kichawi na bila serikali kuchukua hatua zozote za kuwalinda huwa zinanikera sana na huwa najiuliza hivi kazi ya akina Masha na seriali nzima kuhusu kuwalinda raia wake ni kuchukua tu posho au?