Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
nakuhakikishia na hii 2010 lazima mauaji yaongezeke......
si ya albino lakini. labda ya machuki mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuhakikishia na hii 2010 lazima mauaji yaongezeke......
si ya albino lakini. labda ya machuki mengine
Bora hao waganga wa jadi wange kuwa wana agiza viletwe vidole vya mafisadi, lol!
Tuesday, 21 July 2009 16:36 Na Jovin Mihambi, MwanzaMbona wachungaji tu ndio wanaohusika na hivyo viungo vya albino?.
Je kuna shehe yoyote aliyewahi kukutwa na viungo vya albino huko Tanzania?
Kulikoni WAKRISTU na nini tamko la kanisa hapo
wote hao ni binadamu kila mtu eti sababu mchungaji ndo hana makosa?may be anajifichia humo, mashehe wanajua kucheza karata vyema, wapo advanced sana kwa mambo haya,hawa wachungaji sasa ndo wanajifunza
__________________
Nafikiri ingekuwa hehe kabambwa na Viungo vya albino Basi Mada hii ingekuwa patashika. lakin naona akristo imewashika pabaya.
Katika kumbu kumbu zangu huyo ni mchungaji wa pili kukutwa na Nyara hizo hadimu za n viungo vya Albino.
Sasa nini tamko la kanisa kwa mathila haya yanayolitia aibu kama yale ya ushoga?
Now, what is your point?Nafikiri ingekuwa hehe kabambwa na Viungo vya albino Basi Mada hii ingekuwa patashika. lakin naona akristo imewashika pabaya.
Katika kumbu kumbu zangu huyo ni mchungaji wa pili kukutwa na Nyara hizo hadimu za n viungo vya Albino.
Sasa nini tamko la kanisa kwa mathila haya yanayolitia aibu kama yale ya ushoga?
Yameripotiwa mauaji ya alibino, kijana wa miaka minne akiwa na bibi yake usiku, kifo kibaya cha kukatwa mikono yote kuanzia mabegani na bibi yake kukatwa panga la kichwa wakati akimpigania mjukuu waku.
Source: BBC swahili news saa kumi na mbili na nusu jioni 23/07/2009
Habari hii imenishtua sana, Je kura za maoni hazikusaidia chochote? Polisi wako wapi Jamaniiiiiiii? Si tunakatwa kodi kubwa sana kwenye mishahara yetu ili walipwe mishahara ya kutulinda sisi na mali zetu? iweje raia wenzetu wanauwawa bila hata tone la huzuni kwa hawa waajiriwa wetu? jamani! Jamani! Jamani! lazima uwajibikaji utokee nchi hii.
... Polisi wako wapi Jamaniiiiiiii? Si tunakatwa kodi kubwa sana kwenye mishahara yetu ili walipwe mishahara ya kutulinda sisi na mali zetu? iweje raia wenzetu wanauwawa bila hata tone la huzuni kwa hawa waajiriwa wetu? jamani! Jamani! Jamani! lazima uwajibikaji utokee nchi hii.
Haiwezi kusaidia kwani mafisadi na wapambe wao wanawategemea haohao waganga. Isitoshe wateja wa viungo vya Albino ndio hao wenye fedha chafu na watawala. Sasa watawezaje kukata mkono unao walisha?mimi nafikiri iwe illegal kwa shughuli za kiganga za jadi.
Kwani hujui kuwa polisi wetu wapo kwa ajili ya uchaguzi tu? Tangu lini polisi wakajihusisha na wanyonge wa nji hii. Ndio maana umesikia bungeni kuwa wataajiri polisi zaidi kwa ajili ya uchaguzi wa 2010.
Haiwezi kusaidia kwani mafisadi na wapambe wao wanawategemea haohao waganga. Isitoshe wateja wa viungo vya Albino ndio hao wenye fedha chafu na watawala. Sasa watawezaje kukata mkono unao walisha?