Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank Allah this doesnt happen in Znz or done by Muslims. It's very shame to a country like TZ a well respected and well known country and by this time (21st century) that things like this is happening. A huge number of Police and Army plus what you call "Usalama wa Taifa" is sent to Pemba where there is no killing going on while this shameful thing is going on for years and Nothing has been done. Obviously high ranking people are involve in this practice. If this is the way to become rich then I rather die
hapo penye rangi nyekundu nataka kumuuliza huyo mwenye thread ina maana wakristo ndo wanaua albino hivi huu udini wa kijinga unatupeleka wapi? mungu awarehemu marehemu wote
wachungaji hao walio wengi wanakuwa wamefeki tu. ni watu wa kawaida sasa wanaingia kwenye uchungaji ili kuficha maovu. inawezekana wengine ni waislam lakini wanafek tu. hapa haimaanishi kuwa wakristo ndo sana wanaua. kwasababu kwa asili dini ya kikristo si ya uchawi kama kii......, sisi hatufugi majini kama wao, sisi hatutundiki watoto mabegi ya hirizi kama wao, sisi hatuna maroho machafu kutoka kuzimu kama wao. hivyo,naomba hapa msifikiri kuwa waislam ni watakatifu kuliko wakristo. kama umeleta mada hapa kwaajili hiyo, umepotea na utaaibika wewe.
Mwana wa Mungu mbona unajikanyaga kanyaga hapo.
Kumbuka inayotumika kuuwa Albino sio hirizi wala majini bali ni panga ,kisu,shoka na hata mundu.
Mpaka sasa wachungaji wawili wa makanisa ya kikristu ndio waliokamatwa na viungo hivyo vya albino. Au mi nafikiri wanavitumia katika mahubiri yao pale mazabahuni.
Je kuna shehe yeyote aliyekamatwa?
wewe barubaru acha mambo ya udini. Shehe, askofu, mchungaji, wapagani, wote ni binadamu kama wengine tofauti ni imani tu. Sasa hata kama shehe akikamatwa na viungo vya albino wewe itamananisha nini kwenye imani yako?
Kwa kuwa kuna dalili za wazi kuwa kura za maoni zilizotumia pesa nyingi sana kwa ajili ya zoezi hili hazikuzaa matunda na hakuna yeyote aliyewajibika mpaka sasa, pamoja na makelele mengi kutoka kwa jamii yetu na ya kimataifa kuhusiana na mauaji haya, na kwa kuwa kuna dalili za wazi kuwa wakubwa wanaridhika na yanayoendelea, na kwa kuwa hatuwezi kuendelea kuivumilia aibu ya namna hii kwa taifa basi nashauri moja kati ya hili litumike kumaliza adha hii,
1. Masha aondolewe wizara ya mambo ya ndani na wizara hii apewe Mh John Pombe Magufuli. nina imani hii adha itamalizika mara moja tu hata kama kuna wakubwa wanahusika watashika adabu. Kama hili haliwezekani basi lifanyike hili la pili ambalo ni
2. Kiundwe chombo huru chenye nuvu kutoka kwa Raisi na namwomba Mh Raisi amteue Agustine Lyatonga Mrema Akiongoze chombo hicho. Kuna faida mbili kuu kama atafanya hili. Moja mrema atafanya kazi kama polisi mzoefu na anayependa sifa hivyo atakamilisha kazi yake vizuri kwa taifa na hata kama wahusika ni wanasiasa au wakubwa serikalini, mbele ya Mrema hawatapumua. Mbili kwa kuwa yeye ndiye aliyewahi kutumia mfumo wa kura za maoni na ukafanikiwa basi itakuwa ni kazi ambayo anauzoefu nayo na ataendeleza pale walipoishia wala hakutakuwa tena na gharama nyingine ya kura za maoni. (na pia atapata angalaou kaallowance kakumsaidia kununu dawa jamani! (Joke)
Hili nalo limetushinda kulimaliza?
Nilijaribu kufatilia hili suala kwa kuongea na waathirika, nikaambiwa hili tatizo haliwezi kwisha leo ama kesho na mwakani kwasababu ya uchanguzi hali itakuwa mbaya sana. Maana wengi wagombea huenda kwa sangomaz, na kuna mikono ya vigogo! Nilipostaajabu nikaambiwa Mh Pinda yeye ameamua kuchukua mzima mzima hataki viungo. Nilishindwa kuelewa ni ufahamu wa mtoa habari ama kuna ukweli?
Mas
Hapo bold nimetatizwa kidogo, yaani na yeye pia au umejaribu kusema nini? Isije kuwa nimepata mtazamo tofauti na maandishi yako.
Mtoa simulizi anasema mbona hata Mh waziri Mkuu ameamua kuchukua albino mzima mzima na si viungo tu kama wengine!