Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

tunaelekea pabaya sana...MWENYEZI MUNGU ATULINDE maana serikali kwao bado ni usiku wa manane,wamelala fofofo
 
wenzetu Burundi wako serious:

Jail over Burundi albino murders

_45525958_akbino-afp_226.jpg
Witchdoctors claim potions made from albinos bring luck and love

One person has been sentenced to life in prison and eight others to jail in Burundi over the murder of albinos whose remains were sold for witchcraft.
Three other suspects were acquitted by the court in Ruyigi province over the the killings of at least 12 albinos.
The victims were mutilated and their body parts sold in neighbouring Tanzania for use in potions.
In addition to the killing of albinos in Burundi, more than 40 have been killed in Tanzania.
In addition to the life sentence, those convicted were jailed for between one and 15 years.
The trial is believed to be the first linked to a spate of albino killings in East Africa since 2007.
Witchdoctors in the region claim potions made with albino body parts will bring those who use them luck in love, life and business.
An association campaigning for the rights of albinos in Burundi says the authorities are now taking the killings seriously, but more needs to be done.
At least 200 people have been arrested over the trade in Tanzania, but none has been convicted.
 
Tanzniaa mpaka mtoto wa kigogo aguswe ndio mtasikia action.......
 
Na viongozi nao waguswe kwenye uchunguzi kwani nao nasikia wanatumia viungo vya binadamu(albino) kupata madaraka. Tuwachunguze wanaomwaga unga kwenye viti Bungeni!
 
Kwa kuwa kuna dalili za wazi kuwa kura za maoni zilizotumia pesa nyingi sana kwa ajili ya zoezi hili hazikuzaa matunda na hakuna yeyote aliyewajibika mpaka sasa, pamoja na makelele mengi kutoka kwa jamii yetu na ya kimataifa kuhusiana na mauaji haya, na kwa kuwa kuna dalili za wazi kuwa wakubwa wanaridhika na yanayoendelea, na kwa kuwa hatuwezi kuendelea kuivumilia aibu ya namna hii kwa taifa basi nashauri moja kati ya hili litumike kumaliza adha hii,

1. Masha aondolewe wizara ya mambo ya ndani na wizara hii apewe Mh John Pombe Magufuli. nina imani hii adha itamalizika mara moja tu hata kama kuna wakubwa wanahusika watashika adabu. Kama hili haliwezekani basi lifanyike hili la pili ambalo ni

2. Kiundwe chombo huru chenye nuvu kutoka kwa Raisi na namwomba Mh Raisi amteue Agustine Lyatonga Mrema Akiongoze chombo hicho. Kuna faida mbili kuu kama atafanya hili. Moja mrema atafanya kazi kama polisi mzoefu na anayependa sifa hivyo atakamilisha kazi yake vizuri kwa taifa na hata kama wahusika ni wanasiasa au wakubwa serikalini, mbele ya Mrema hawatapumua. Mbili kwa kuwa yeye ndiye aliyewahi kutumia mfumo wa kura za maoni na ukafanikiwa basi itakuwa ni kazi ambayo anauzoefu nayo na ataendeleza pale walipoishia wala hakutakuwa tena na gharama nyingine ya kura za maoni. (na pia atapata angalaou kaallowance kakumsaidia kununu dawa jamani! (Joke)
 
Thank Allah this doesnt happen in Znz or done by Muslims. It's very shame to a country like TZ a well respected and well known country and by this time (21st century) that things like this is happening. A huge number of Police and Army plus what you call "Usalama wa Taifa" is sent to Pemba where there is no killing going on while this shameful thing is going on for years and Nothing has been done. Obviously high ranking people are involve in this practice. If this is the way to become rich then I rather die

hapo penye rangi nyekundu nataka kumuuliza huyo mwenye thread ina maana wakristo ndo wanaua albino hivi huu udini wa kijinga unatupeleka wapi? mungu awarehemu marehemu wote
 
Kwani Braza huku TZ KUNA WAISLAM NA WAKRISTO TU ? Or did I mention at any point in my thread the word wakristo ? Naona na nashangaa kua wewe unaleta udini wa kijuha na kijinga , for your information ungeliweza kutetea dini yako tu bila ya kuita watu wajinga. I'm also very sorry as I said in my previous thread that this is happening in my TZ in this century, the world of technology but we still in the stone age.
 
Manumbu yupo wapi ? Ni juzi jana tu alisikika eti wamejipanga vizuri kupambana na Cyber crrimez ,yeye manumba anaumia sana akisikia wanaoweka mapesa benki wanaibiwa ,hajali kabisa maisha ya mwananchi masikini tena mwenye matatizo ya ngozi akiuliwa na kugawanywa vifungu kama mbuzi wa sadaka.

Hawa watu inabidi wawajibishwe kuanzia mkuu wausalama wa Taifa hadi Waziri na ikiwezekana kwa Raisi na Waziri wake Mkuu kuzuia na kuwabaka wale wote wanaohusika basi hawafai kuongoza Nchi ,ni lazima waachie ngazi.

Hakuna haja ya Mkuu wa Usalama polisi kung'ang'ania madaraka ikiwa mauaji haya yameshazidi zaidi ya mwaka na yanaendelea kwa nyakati tofauti.

Wamejipanga kuuwa Wapemba ,wamejipanga kuisaidia CCM ishinde uchaguzi ,wamejipanga kuwalinda mafisadi ,wamejipanga kuona sheria hazifuati mkondo wake.

Ni dhahiri kwa sasa wananchi nao wajipange kupambana na vyombo hivi maana havipo kwa ajili yao bali kwa ajili ya Sultani CCM.

Kuna haja ya Mkuu wa Usalama kushitakiwa na vyombo vinavyosimamia haki za binadamu ,aidha kushindwa kwake atakuwa anawajuwa wahusika wanaonunua viungo hivyo kwa mamilioni ya fedha ,aidha nae ni mhusika kwa kutaka utajiri.
 
wachungaji hao walio wengi wanakuwa wamefeki tu. ni watu wa kawaida sasa wanaingia kwenye uchungaji ili kuficha maovu. inawezekana wengine ni waislam lakini wanafek tu. hapa haimaanishi kuwa wakristo ndo sana wanaua. kwasababu kwa asili dini ya kikristo si ya uchawi kama kii......, sisi hatufugi majini kama wao, sisi hatutundiki watoto mabegi ya hirizi kama wao, sisi hatuna maroho machafu kutoka kuzimu kama wao. hivyo,naomba hapa msifikiri kuwa waislam ni watakatifu kuliko wakristo. kama umeleta mada hapa kwaajili hiyo, umepotea na utaaibika wewe.

Mwana wa Mungu mbona unajikanyaga kanyaga hapo.
Kumbuka inayotumika kuuwa Albino sio hirizi wala majini bali ni panga ,kisu,shoka na hata mundu.

Mpaka sasa wachungaji wawili wa makanisa ya kikristu ndio waliokamatwa na viungo hivyo vya albino. Au mi nafikiri wanavitumia katika mahubiri yao pale mazabahuni.

Je kuna shehe yeyote aliyekamatwa?
 
tuache udini katika kila kitu jamani watanzania, huko tunakoelekea siko, haya mambo ya kutaka ku score point kutokana na makosa ya binadamu wengine hayatatusaidia lolote katika mbio za kuuona ufalme wa mbinguni. Tufanya yale yanayotupasa kufanya, makosa ya wengine hayasaidii kutufanya wakamilifu.
 
Mwana wa Mungu mbona unajikanyaga kanyaga hapo.
Kumbuka inayotumika kuuwa Albino sio hirizi wala majini bali ni panga ,kisu,shoka na hata mundu.

Mpaka sasa wachungaji wawili wa makanisa ya kikristu ndio waliokamatwa na viungo hivyo vya albino. Au mi nafikiri wanavitumia katika mahubiri yao pale mazabahuni.

Je kuna shehe yeyote aliyekamatwa?

Wewe Barubaru acha mambo ya udini. shehe, askofu, mchungaji, wapagani, wote ni binadamu kama wengine tofauti ni imani tu. Sasa hata kama shehe akikamatwa na viungo vya albino wewe itamananisha nini kwenye imani yako?
 
Serikali inahusika ndio ukaona hadi leo wapo madarakani walifanyalo halijulikani ,nchi ilivyorithiwa toka kwa Teja (Mkapa) mfanya biashara ikulu hadi leo ,yaani kuna mabadiliko gani leo hii wakiulizwa serikali kwa kweli hawana jipya ni kupiga kona humohumo mlimokwisha limwa.
 
wewe barubaru acha mambo ya udini. Shehe, askofu, mchungaji, wapagani, wote ni binadamu kama wengine tofauti ni imani tu. Sasa hata kama shehe akikamatwa na viungo vya albino wewe itamananisha nini kwenye imani yako?

kwanza kilichonifurahisha jamaa hata hakubisha nimepitia naona wote wanan`gan`gana eti ubinadamu na sio imani mi nataka nifaham ndugu mueka mada je huyo mchungaji amekutwa navyo kanisani au nyumbani kwake?

Kama unafaham ndugu hebu weka wazi hapo. Shukran.

Sio jambo zuri kila mwenye nalo tumpinge vikali.
 
Sidhani kama tunawshutumu waisla au wakirto katika hili. sikutegeme dini ijitokeze hapa. Kwani mnaonaje haya mapendekezo hapa chini?

Kwa kuwa kuna dalili za wazi kuwa kura za maoni zilizotumia pesa nyingi sana kwa ajili ya zoezi hili hazikuzaa matunda na hakuna yeyote aliyewajibika mpaka sasa, pamoja na makelele mengi kutoka kwa jamii yetu na ya kimataifa kuhusiana na mauaji haya, na kwa kuwa kuna dalili za wazi kuwa wakubwa wanaridhika na yanayoendelea, na kwa kuwa hatuwezi kuendelea kuivumilia aibu ya namna hii kwa taifa basi nashauri moja kati ya hili litumike kumaliza adha hii,

1. Masha aondolewe wizara ya mambo ya ndani na wizara hii apewe Mh John Pombe Magufuli. nina imani hii adha itamalizika mara moja tu hata kama kuna wakubwa wanahusika watashika adabu. Kama hili haliwezekani basi lifanyike hili la pili ambalo ni

2. Kiundwe chombo huru chenye nuvu kutoka kwa Raisi na namwomba Mh Raisi amteue Agustine Lyatonga Mrema Akiongoze chombo hicho. Kuna faida mbili kuu kama atafanya hili. Moja mrema atafanya kazi kama polisi mzoefu na anayependa sifa hivyo atakamilisha kazi yake vizuri kwa taifa na hata kama wahusika ni wanasiasa au wakubwa serikalini, mbele ya Mrema hawatapumua. Mbili kwa kuwa yeye ndiye aliyewahi kutumia mfumo wa kura za maoni na ukafanikiwa basi itakuwa ni kazi ambayo anauzoefu nayo na ataendeleza pale walipoishia wala hakutakuwa tena na gharama nyingine ya kura za maoni. (na pia atapata angalaou kaallowance kakumsaidia kununu dawa jamani! (Joke)
 
Hili nalo limetushinda kulimaliza?

Nilijaribu kufatilia hili suala kwa kuongea na waathirika, nikaambiwa hili tatizo haliwezi kwisha leo ama kesho na mwakani kwasababu ya uchanguzi hali itakuwa mbaya sana. Maana wengi wagombea huenda kwa sangomaz, na kuna mikono ya vigogo! Nilipostaajabu nikaambiwa Mh Pinda yeye ameamua kuchukua mzima mzima hataki viungo. Nilishindwa kuelewa ni ufahamu wa mtoa habari ama kuna ukweli?

Mas
 
Hapo bold nimetatizwa kidogo, yaani na yeye pia au umejaribu kusema nini? Isije kuwa nimepata mtazamo tofauti na maandishi yako.
 
Hapo bold nimetatizwa kidogo, yaani na yeye pia au umejaribu kusema nini? Isije kuwa nimepata mtazamo tofauti na maandishi yako.

Mtoa simulizi anasema mbona hata Mh waziri Mkuu ameamua kuchukua albino mzima mzima na si viungo tu kama wengine!
 
Mkuu najua kuwa wengi hawana hisia kali kwa sababu kwanza si familia zote zenye Alibino, pili kama tungeweza kurecord sauti ya yule kijana wakati anakata roho baada ya watu kuondoka na mikono yake naamini kelele zingekuwa nyingi zaidi. Angalia ushabiki uliotokea kwenye ile ya hekaheka.

Mh Pinda aliposema wauwawe Mh Hamadi alitaka kumnyanga'nya Uwaziri Mkuu lakini mauaji yanaendelea na Bado Hamadi amekaa kimya hajatoa utaratibu mzuri zaidi ya ule wa Waziri mkuu. kinachoendelea ni wao wanajikusanyia posho tu.

Hizi kauli za kumpamba Raisi kuwa anafanya sawa siyo nzuri hata kidogo, naamini mtu anayekupenda atakwambia ukweli hata kama utachukia ilimradi amekweleza kwa ustaarabu siku moja utagundua kuwa alikuwa sahihi. RAISI WETU ANACHELEWA SANA KUCHUKUA HATUA NA HATA PALE ANAPOCHUKUA HATUA HAONYESHI KUKERWA NA HAYO MABAYA. mifano ni mingi sana.

Kama wanamficha ni vizuri tmsaidie.
 
Mtoa simulizi anasema mbona hata Mh waziri Mkuu ameamua kuchukua albino mzima mzima na si viungo tu kama wengine!

Inawezekana amemchukua amlee au kwa nia njema kama vile mtu ukiamua kulea mtoto yatima kwa ridhaa yako mwenyewe.
Kama ni tofauti na hivi basi ni HATARI sana!..
 
Back
Top Bottom