haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Kuna video inaumiza kweli, binti mdogo ambae mi mkimbizi kutoka Ukraine, ameuwawa kwa kukatwa shingoni na jamaa mweusi kwenye train.
Ni wazi kua ameuwawa kutokana na rangi ya ngozi yake "White", weusi wengine waliokuepo hawakuonesha kumsaidia binti, alianguka kwenye kiti chake, akavuja damu hadi akafariki
Hapa ni baada ya kukatwa, alikua bado na ufahamu anashangaa
Where is BLACK Lives Matter?
====
Zaidi angalia hapa👇👇
TAHADHARI: VIDEO YENYE MAUDHUI YA KUOGOFYA

Binti wa miaka 23, Iryna Zarutska ameuliwa kikatili na mtu mweusi huko Marekani. Muuaji anaitwa Decarlos Brown, na amemua Iryna kwa kumchoma visu vingi, wote wakiwa kwenye train (public transport) huko Charlotte, North Carolina
Tukio hilo limetokea August 22, mwaka huu 2025
Iryna ni mkimbizi kutoka Ukraine na alihamia Marekani kutokana na vita inayoendelea kati ya Russia na Ukraine.
Pia inasemekana Iryna Zarutska alikuwa ana post ya "Black Lives Matters" chumbani kwake, kwa hiyo binti huyu hata hakuwa na chuki dhidi ya watu weusi
View attachment 3469284
Raia wa Kimarekani wamefurika mitandaoni kwa hasira sana wakidai kuwa watu hawaongelei mauaji haya kwa sababu aliyeua ni mweusi. Wanaogopa kuitwa wabaguzi wa rangi
Statement kutoka kwa Rais wa Marekani juu ya tukio hiliView attachment 3469289