Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo

Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo

Bila kujali jamaa alikuwa na matatizo ya akili, Ila blacks wengi huko USA ukiwafatilia utagundua wanazingua Sana sometimes
Ni sahihi. Wengi wana ujuaji na usela mavi sijui kwanini ni mslimbukeni sana.

Inasikitisha na kutufharirisha sana si weusi.
 
Ila huyo jamaa inasemekana aliwahi kuwa na tatizo la afya ya akili. Katika hali ya kawaida, haileti mantiki huyo jamaa amshambulie tu abiria mwenzake na kumuua huku akiwa hajahitilafiana naye kwa chochote.
Watu wengi USA wanamatatizo ya akili kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya na msongo wa mawazo. Yaani serikali yenye nguvu imeshindwa kupambana na wauza madawa ya kulevya kutoka nchi America Kusini.
 
Haijashindwa sema wao ndiyo wauzaji wa kuu wa madawa hapa duniani na pesa zake ndiyo zinatumika na CIA katika operesheni zake
 
Chanzo hasa tukiachilia hayo maelezo Yako chaweza kuwa Nini?
Ukiangalia ile video utaona binti hakuwa na hili wala lile amejikalia kwenye kiti anachezea simu alafu jamaa amekaa kwa nyuma gafra anasimama na kusogelea binti nakuanza kumchoma visu tokea kwa pembeni binti akishangaa na kujishika uso mwishowe akakosa nguvu na kudondoka chini. Pembeni kulikuwa na abiria wengine blacks and no one dared to do anything than being astonished. So sad kwakweli
 
Haijashindwa sema wao ndiyo wauzaji wa kuu wa madawa hapa duniani na pesa zake ndiyo zinatumika na CIA katika operesheni zake
Madawa ya kulevya yanaingia USA kutoka nchi za Amerika Kusini/Kati ie Mexico, Venezuela, China, Afghanistan nk
 
Kwa ujumla wake Marekani si mahali salama sana. Kuanzia walio juu mpaka chini. Lolote linaweza kukukuta wakati wowote.

Acha niende zangu Japan au China tu.
 
Back
Top Bottom