Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Tatizo ni kwamba aliwahi kufanya matukio ya uhalifu mara 14 na mara zote hizo wanamwachia tu arudi mtaani??Ila huyo jamaa inasemekana aliwahi kuwa na tatizo la afya ya akili. Katika hali ya kawaida, haileti mantiki huyo jamaa amshambulie tu abiria mwenzake na kumuua huku akiwa hajahitilafiana naye kwa chochote.
Ina maana hawakujua jinsi ya kudeal na mtu mwenye matatizo ya akili. Yani binadamu ndio tulivyo, tunakumbuka shuka kumekucha