Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Kuna video inaumiza kweli, binti mdogo ambae mi mkimbizi kutoka Ukraine, ameuwawa kwa kukatwa shingoni na jamaa mweusi kwenye train.

Ni wazi kua ameuwawa kutokana na rangi ya ngozi yake "White", weusi wengine waliokuepo hawakuonesha kumsaidia binti, alianguka kwenye kiti chake, akavuja damu hadi akafariki

Hapa ni baada ya kukatwa, alikua bado na ufahamu anashangaa


Where is BLACK Lives Matter?

====

Zaidi angalia hapa👇👇

TAHADHARI: VIDEO YENYE MAUDHUI YA KUOGOFYA
 
Chanzo hasa tukiachilia hayo maelezo Yako chaweza kuwa Nini?
 
Binti wa miaka 23, Iryna Zarutska ameuliwa kikatili na mtu mweusi huko Marekani. Muuaji anaitwa Decarlos Brown, na amemua Iryna kwa kumchoma visu vingi, wote wakiwa kwenye train (public transport) huko Charlotte, North Carolina
Tukio hilo limetokea August 22, mwaka huu 2025
Iryna ni mkimbizi kutoka Ukraine na alihamia Marekani kutokana na vita inayoendelea kati ya Russia na Ukraine.

Pia inasemekana Iryna Zarutska alikuwa ana post ya "Black Lives Matters" chumbani kwake, kwa hiyo binti huyu hata hakuwa na chuki dhidi ya watu weusi

Your browser is not able to display this video.

Raia wa Kimarekani wamefurika mitandaoni kwa hasira sana wakidai kuwa watu hawaongelei mauaji haya kwa sababu aliyeua ni mweusi. Wanaogopa kuitwa wabaguzi wa rangi

Statement kutoka kwa Rais wa Marekani juu ya tukio hili
 
USA nchi ya kipumbavu sana when it comes to mauaji ya kikatili yasiyo na msingi wowote ule na sheria za kipumbavu zinazowabeba wahalifu. Last month mbongo dereva wa Uber kauwawa Chicago na mtoto mpumbavu wa miaka 16 kwa bastola akijaribu kumpora gari. Huyu ni dereva anayefanya shughuli zake, hawajuani wala nini. Nchi ya kipumbavu sana hii when it comes to heinous crimes.
 
Na mbongo mwingine alikabwa na polisi mpaka kumuua.

Vifo vya kuumiza nafsi.

Fikiria pia yule kijana kule Mwanza anapigwa hadi kufa huku wanamrekodi

Hao sijasikia. Nao mauti yaliwakuta USA?
 
Kwa nini Marekani ina mauaji mengi namna hii? Yani nchi kubwa vile inashindwa kuweka mazingira salama kwa watu kuishi?
 
Kwa nini Marekani ina mauaji mengi namna hii? Yani nchi kubwa vile inashindwa kuweka mazingira salama kwa watu kuishi?

Siasa plays a big role kufanya haya mambo kuendelea. Kwa walipofikia hayawezi kuisha yataendelea tu zaidi. Moreover, hakuna kitu wamarekani wanapenda kama silaha na uhuru unaozidi mipaka. That’s a recipe for disaster.
 
Ila huyo jamaa inasemekana aliwahi kuwa na tatizo la afya ya akili. Katika hali ya kawaida, haileti mantiki huyo jamaa amshambulie tu abiria mwenzake na kumuua huku akiwa hajahitilafiana naye kwa chochote.
 
Siasa plays a big role kufanya haya mambo kuendelea. Kwa walipofikia hayawezi kuisha yataendelea tu zaidi. Moreover, hakuna kitu wamarekani wanapenda kama silaha na uhuru unaozidi mipaka. That’s a recipe for disaster.
Vip hapa kwetu wangeonesha clip namna wanavyo waua wale wote walio tekwa na hawajawahi kupatikana , mnajua walikufa kifo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…