Tatizo ni kwamba aliwahi kufanya matukio ya uhalifu mara 14 na mara zote hizo wanamwachia tu arudi mtaani??Ila huyo jamaa inasemekana aliwahi kuwa na tatizo la afya ya akili. Katika hali ya kawaida, haileti mantiki huyo jamaa amshambulie tu abiria mwenzake na kumuua huku akiwa hajahitilafiana naye kwa chochote.
Tanzania hakuna demokrasia, ni tofauti na Marekani. Hayo mauaji kwa Tanzania yanafanywa kwa siri mno so hatujui yalifanyikajeVip hapa kwetu wangeonesha clip namna wanavyo waua wale wote walio tekwa na hawajawahi kupatikana , mnajua walikufa kifo gani?
Vip hapa kwetu wangeonesha clip namna wanavyo waua wale wote walio tekwa na hawajawahi kupatikana , mnajua walikufa kifo gani?
Binti aliyeuliwa mwenyewe alikuwa hana baya na watu weusiWaafrika kwenye one and two katika ubora wao
Duh halaf inaonekana ilikua single hii, dooh ufadhili uwah niachane ni hizi utiai sugu za mazense midiziniBinti aliyeuliwa mwenyewe alikuwa hana baya na watu weusi
Chumbani kwake kaweka na bango kabisa "Black Lives Matter"
Wanasema "NEVER MEET YOUR HEROES"
View attachment 3469312
Ila Trump kwa kulaumu wenzie hajambo.Binti wa miaka 23, Iryna Zarutska ameuliwa kikatili na mtu mweusi huko Marekani. Muuaji anaitwa Decarlos Brown, na amemua Iryna kwa kumchoma visu vingi, wote wakiwa kwenye train (public transport) huko Charlotte, North Carolina
Tukio hilo limetokea August 22, mwaka huu 2025
Iryna ni mkimbizi kutoka Ukraine na alihamia Marekani kutokana na vita inayoendelea kati ya Russia na Ukraine.
Pia inasemekana Iryna Zarutska alikuwa ana post ya "Black Lives Matters" chumbani kwake, kwa hiyo binti huyu hata hakuwa na chuki dhidi ya watu weusi
View attachment 3469284
Raia wa Kimarekani wamefurika mitandaoni kwa hasira sana wakidai kuwa watu hawaongelei mauaji haya kwa sababu aliyeua ni mweusi. Wanaogopa kuitwa wabaguzi wa rangi
Statement kutoka kwa Rais wa Marekani juu ya tukio hiliView attachment 3469289
Kuna haya mauaji mengine ya wiki iliyopita. Huyu ni Mzungu kaua watu watatu ambao wote ni weusiBila kujali jamaa alikuwa na matatizo ya akili, Ila blacks wengi huko USA ukiwafatilia utagundua wanazingua Sana sometimes
Watu weusi msumbiri...USA nchi ya kipumbavu sana when it comes to mauaji ya kikatili yasiyo na msingi wowote ule na sheria za kipumbavu zinazowabeba wahalifu. Last month mbongo dereva wa Uber kauwawa Chicago na mtoto mpumbavu wa miaka 16 kwa bastola akijaribu kumpora gari. Huyu ni dereva anayefanya shughuli zake, hawajuani wala nini. Nchi ya kipumbavu sana hii when it comes to heinous crimes.
Halafu ***** trump hakuposti kitu.....Kuna haya mauaji mengine ya wiki iliyopita. Huyu ni Mzungu kaua watu watatu ambao wote ni weusi
Hii nchi yao ina shida mahaliView attachment 3469319
Hebu uzoom huo ujumbe...Binti aliyeuliwa mwenyewe alikuwa hana baya na watu weusi
Chumbani kwake kaweka na bango kabisa "Black Lives Matter"
Wanasema "NEVER MEET YOUR HEROES"
View attachment 3469312
Trump hawezi kupost hii 😅Halafu ***** trump hakuposti kitu.....
Serikali imechangia pakubwa kutokea kwa haya mauaji. Huyo mtuhimiwa ni dhahiri alikuwa ni mgonjwa wa akili! Na hivyo alitakiwa kupelekwa hospitali na kuhifadhiwa huko mpaka apone. Ila haikufanya hivyo.Tatizo ni kwamba aliwahi kufanya matukio ya uhalifu mara 14 na mara zote hizo wanamwachia tu arudi mtaani??
Ina maana hawakujua jinsi ya kudeal na mtu mwenye matatizo ya akili. Yani binadamu ndio tulivyo, tunakumbuka shuka kumekucha