mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
BODA BODA.
Ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi?
Kuanzia Pandambili, Kibaigwa hadi Kongwa wilayani punda kibao!Kongwa hakuna punda....labda uliona kwingine.
Kwanini mkuuBODA BODA.
Bwashee mbona umepanic!Acha uongo....
Punda hao huwa wanabeba mizigo ya wakaguru kutoka sehemu za milimani huko Gairo.Huwa hapakii watu.
Ndugai yupo hapo dodoma mjini akimnanga jjm kwa mipasho yake iliyokosa vina! Hebu aende jimboni kwake kuthibiti huu ujambazi!Kumekuwa na wimbi la wizi wa pikipiki na hata mauaji kwa vijana wanaofanya kazi ya kusafirisha abiria kwa pikipiki wilayani Kongwa-Dodoma.
Wiki tatu zilizopita Kijana mmoja aliyekuwa akifanya kazi hiyo Kongwa mjini alipotea kwa kipindi cha wiki mbili na baadae kukutwa akiwa amefariki na mwili wake ulikuwa umeharibika na kubaki mifupa.Mwili wake uliokotwa kijiji cha Suguta wilayani humo umbali wa takribani kilomita 40 kutoka Kongwa mjini.
Usiku wa kuamkia jana yaani tarehe 7 May....Kijana mwingine kutoka Pandambili "alichinjwa" na kuporwa pikipiki yake.
Matukio mengine yamekuwa yakifanyika kwa kuporwa pikipiki bila wenye nazo kuuawa....matukio ya namna hii yakemewe haraka kwani yanaleta taharuki kwa watu.
©TanzaLand
Kongwa-Dodoma
Ndio nimekuambia hongereni hapo Kongwa kwa kupata bodaboda!Tatizo lako una akili za kichawi sana.
Tunaongelea masuala ya mauaji wewe unaleta habari za punda.