Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Nimekuwa nikipata habari kuwa jabali la siasa za Zanzibar aliuliwa na Askari jeshi nje ya makao makuu ya chama cha ASP majira ya jioni tarehe 07/04/1972 alipokuwa akicheza bao. Mauaji yake yalifanyika kwa njia ya kupigwa Risasi.
Ni upi wasifu wa askari huyu muuaji wa shujaa huyu na je alikamatwa na kushitakiwa? Alifungwa au alinyongwa?
Pia Soma
- Utata kifo cha hayati Abeid Karume
Ni upi wasifu wa askari huyu muuaji wa shujaa huyu na je alikamatwa na kushitakiwa? Alifungwa au alinyongwa?
Pia Soma
- Utata kifo cha hayati Abeid Karume