Karume aliuliwa na wanajeshi, Ambao inasemekana ilikua ni Revolution planning. walioshiriki lile tukio walikua ni watu wanne, ambao ni Ahmada, Chwaya, Shindano na Humoud. Huyu humoud alikua ni shemegi yake Karume alikua ni ndugu wa mkewe.
Wote hawa walifariki huku humoud akifariki anaeo la tukio na wengine walikufa kwenye mapambano wakijaribu kukimbia.
ILa kulikuwa na People behind ile murder. Wakwanza ni Babu ambaye alikua ni mwanasiasa mkubwa kwa wakati huo, Nayeye ndio aliekua ndio huyo planner wa ile revolution. Na wapili Alikua ni Mwanajeshi Mahfoudh ambaye inavosemekana ndio alikua the man behind ile murder.
Na watatu alitambulika kama Mr X ili kuendelea na huyu patahitaji darasa kubwa ili uweze kufahamu kwa undan kabisa haya mambo.
Babu na Mahfidh wote waliishia jela ila walitoka baada miaka mitano mbele. Hayo ni kwa ufupi tu mkuu. Kwa marefu yatatuchukua mda kidogo.