Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Embu funguka kidogo, je alikamatwa?Nisikiavyo ni kuwa jamaa alijitoa mhanga kulipiza mauwaji ya Baba yake.
Una maana gani?Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru
We ndio uache utoto waulizwa hiki wajibu kingine kama sio utoto nn.wataka lissu aongelewe kila uzi auNenda kaulize Zanzibar, acha utoto
Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru
Embu huyu gwiji wa history aje huku kwenye uzi
Embu huyu gwiji wa history aje huku kwenye uzi
Dah...huyu mzee ana historia nzuri na nchi hii....ila analalia sana upande mmoja...hayuko huru [emoji41]Embu huyu gwiji wa history aje huku kwenye uzi
Aliuawa hapo hapo kwenye tukioEmbu funguka kidogo, je alikamatwa?
Uzi upo humu umeeleza kila kituDah...huyu mzee ana historia nzuri na nchi hii....ila analalia sana upande mmoja...hayuko huru [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Hili ndiyo tatizoDah...huyu mzee ana historia nzuri na nchi hii....ila analalia sana upande mmoja...hayuko huru [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
NdiyoAliuawa hapo hapo kwenye tukio
Embu fufueniUzi upo humu umeeleza kila kitu