Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #21
Punguza hasira YakheeWapo wengine wanaomuona huyo askari aliyemuuwa ndio Shujaa na huyo unaemuita weye shujaa wao hawamuoni shujaa. Kwaiyo hizo lugha zako zakupachika watu ushujaa ungeliziweka pembeni
Sikuelewi ujueDeep state ilifanya yake.
Sikuelewi ujue
Alifikishwa kortini?somebody somebody,comando Mahfudhi
Alihukumiwa kunyongwa, lakini baadae akaachiwa na kupelekwa Msumbiji ambapo akaenda kuwa mshauri wa masuala ya usalama mpaka akafa na kuzikwa katika makaburi ya mashujaa wa nchi hiyo!Alifikishwa kortini?
Ndo nilikuwa navuta kumbukumbu kuna member aliwai kuja na scenario nzima hadi kupelekea kifo cha huyu mzee hadi baada ya kifo nini kiliendelea, kipindi kile jf ni jf.Uzi upo humu umeeleza kila kitu
Lakini pia nadhani uzi umeanzishwa kumhusu aliyekuwa Makamu wa Rais wa JMT marehemu Abeid Aman Karume na siyo TL aliyejeruhiwa kwa risasi na ambaye kwa sasa anaendelea kula dona liliochanganywa na mhogo kama mtu mwingine yeyote aliye hai.Suala la Lisu liweke pembeni shoga yangu. Mimi nimekuja na mauaji ya Jemedari na mwanamapinduzi Mzanzibari Abeid Karume.
tuma kitabu hichoKwa heri ukoloni, kwa heri uhuru
JF ilikuwa shule sio mchezoNdo nilikuwa navuta kumbukumbu kuna member aliwai kuja na scenario nzima hadi kupelekea kifo cha huyu mzee hadi baada ya kifo nini kiliendelea, kipindi kile jf ni jf. Ingekuwa kuwa vyema ule uzi ungevutwa hapa tujikumbushe, historia haichachi
Anaitwa nani Huyo askari?Aliuawa hapo hapo kwenye tukio
Okelo yeye alisaidia kufanikisha mapinduziAnaitwa nani Huyo askari????!
Vipi kuhusu OKELO YULE MGANDA
Duuuuhhh, hatariAlihukumiwa kunyongwa, lakini baadae akaachiwa na kupelekwa Msumbiji ambapo akaenda kuwa mshauri wa masuala ya usalama mpaka akafa na kuzikwa katika makaburi ya mashujaa wa nchi hiyo!
Unazungumza mambo mawili tafauti..Okelo yeye alisaidia kufanikisha mapinduzi
Ila hii isiwe kama sbb ya ku back up kuhusu Lissu kupigwa risasi, na kujenga sbb za kijinga kusema hata waliompiga Lissu wanaweza wasikmatwe...
Crime is a crime.. Na kila crime is very very different..!!
So waliompiga Lissu risasi wasakwe kokote kule
Punguza hasira Yakhee