Mauaji ya kimafia huko Kenya

Mauaji ya kimafia huko Kenya

Haya sio mauaji ya kimafia maana walioyatenda wanaonekana kuwa malimbukeni fulani hivi, polisi tayari wapo kwenye hatua za mwisho za kuwakamata, wapumbavu hawakua professional kama kundi la wasiojulikana wale wa Tanzania.
Halafu hivi mbona awamu hii ya tano mnataka kuvuruga mshikamano wa Watanzania, nimeona nyie Wasukuma kwa kupitia Gwajima mnasambaza video za kuhamasishana kuunda makundi ya Wasukuma ili mtawale milele.
 
Azory Gwanda pia sijui aliendaa wapi?
 
Tribal bloc voting hatimaye imetinga Tanzania . Hawa wenzetu ambao tumeishi nao mitaani kwa shida na raha wanatugeuka nakujenga kiburi na utengamano. The likes of Gwajima are adviced wasicheze na moto.
 
Kenya ukigusa viongozi wa kisiasa ujue huo ndio mwisho wako,
1)Pio Gama Pinto
2)Tom Mboya
3)Robert Aoko
4)Jacob Juma
5)Chris Msando
6)Aboud Rogo
7)Makaburi
8)Mmiliki wa Modern coast buses

Hawa ni baadhi tu ya watu waliouliwa kinyama chini ya uangalizi wa serikali/Viongozi wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tribal block voting hatimaye imetinga Tanzania . Hawa wenzetu ambao tumeishi nao mitaani kwa shida na raha wanatugeuka nakujenga kiburi na utengamano. The likes of Gwajima are adviced wasicheze na moto.
 
Tanzania ni nchi ya kipekee kabisa hapa Afrika, kamwe hatuwezi kuruhusu wapumbavu wachache kama Gwajima kutuletea mawazo ya kipumbavu, tutamsambaratisha haraka sana, kama anataka ukabila kwanini asivume mpaka na kuja Kenya, ambako ni ruhusa kuwa na Radio, magazeti hata vyama vya kikabila, huku hawezi pata nafasi" Tanzanians are civilized people"

Utasubiri sana uone tukibaguana kisa makabila 😂😂😂
 
Kenya ukigusa viongozi wa kisiasa ujue huo ndio mwisho wako,
1)Pio Gama Pinto
2)Tom Mboya
3)Robert Aoko
4)Jacob Juma
5)Chris Msando
6)Aboud Rogo
7)Makaburi
8)Mmiliki wa Modern coast buses

Hawa ni baadhi tu ya watu waliouliwa kinyama chini ya uangalizi wa serikali/Viongozi wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuambia sometime back kuwa mko 20 years behind Kenya. Ona Sasa tayari mshaingia ukabila.
 
Haya sio mauaji ya kimafia maana walioyatenda wanaonekana kuwa malimbukeni fulani hivi, polisi tayari wapo kwenye hatua za mwisho za kuwakamata, wapumbavu hawakua professional kama kundi la wasiojulikana wale wa Tanzania.
Halafu hivi mbona awamu hii ya tano mnataka kuvuruga mshikamano wa Watanzania, nimeona nyie Wasukuma kwa kupitia Gwajima mnasambaza video za kuhamasishana kuunda makundi ya Wasukuma ili mtawale milele.
Aisee, wasukuma katika ubora wao. Hawana mzaha kabisa hawa jamaa wa kula miwa kwenye mabasi na kuvaa 'high waist'. Viva Magufulistan!(kwa lafudhi ya kisukuma). WALIMU WAONYWA KUFUNDISHA KWA KUTUMIA LUGHA YA KISUKUMA
 
Sikumbuki case ya mwisho ya mauaji ya hao watu iliripotiwa lini
People have been trying to kill Josephat Torner since the day he was born.
In his rural Tanzania hometown, some encouraged Torner's parents to poison him, saying an albino baby was a curse.
 
Back
Top Bottom