Mauaji ya kimafia huko Kenya

Mauaji ya kimafia huko Kenya

Kenya nchi ya unafiki sana.
Ila Afrika kwa ujumla tuna ukatili wa ajabu ajabu
UKWELI HUU HAPA
Kutoka 2013 Kufikia sasa watu aliopotea ama kuuwawa TZ kwa misingi ya kisiasa ni chini ya 5% walioangamizwa kenya.
2017 walikufa 300 kwa uchaguzi, kamwe hauwezi linganisha Tz Na kenya labda uwe kichaa
 
Basi wacha kutonuooshea kidole kimoja wakati tatu zinakuangalia.
Zipi hizo zinazotuangalia?, acheni kujilinganisha na Tanzania katika mauaji ya kiholela, Tanzania yametokea mara chache sana, ndio sababu Tanzania ipo namba 54 duniani kwa amani wakati Kenya mnashika namba 145, hivi kweli mnawezaje kulinganisha namba 54 na 145?. Lazima mkubali ukweli ili muweze japo kujifunza namna ya kupata usalama na amani nchini mwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yanabadilika Tz na msipochunga mtakuwa worse than Kenya.
 
Subiri kwanza hadi tukifika hapo ndio utapata uhalali wa kutushauri, lakini kwa sasa hivi tupo vizuri bado, na katika rankings zinazofuata tunategeme kufika vizuri zaidi ya mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifikia sasa, wakenya wanataka ku kopi pasti Katiba ya Tanzania kwa mchakato wao wa BBI..Hadi wakaalika Kabudi wapee somo la bure😂😂😂
Hii yote eti kumaliza umwagikaji wa damu kwa misingi ya siasa
 
People have been trying to kill Josephat Torner since the day he was born.

In his rural Tanzania hometown, some encouraged Torner's parents to poison him, saying an albino baby was a curse.
That's a crime... It isn't legalized in our country.....And such kind of cases occur throughout Africa.... Or hasn't Kenya experienced such kind of cases?
 
Back
Top Bottom