Mauaji ya kutisha kwa wakristo na alawite wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Assad huko Syria

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
875
Reaction score
633
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji hayo hii inaonyesha wazi ni jinsi gani Umoja wa Mataifa na Jumuia zake walivyo wanafiki wa kutupwa!!!
1741872021562.png
 
Ndio mliyataka aya!!! Tukiwaambia IRAN taifa teulle mnabisha na kuleta ulokole wenu!!!

sasa Assad alikuwa anasapotiwa na Iran Wagalagatia wenzenu walikuwa Salama sasa kiongozi mpya anaugwa mkono na ISRAEL!!!!

kazi moja kwasasa mnapigwa kipondo cha taifa teule!!!

ndio mkiambiwa Waisrael na wakristo ni paka na panya awaivi popote!!! Japo mmngekuwa na uwelewa mngewaunga mkono WaIran!!!

Ayatollah japo anashehelekea Xmas lkn nyie mmegandana na Israel aya sasa mchutame tu!!!!! Msitafute pakuegemea!!!!!
 
Wavaa kubazi ni magaidi TU.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Lakini nyinyi si .likuwa hamumtaki Asad kwa sababu alikuwa rafiki wa Iran na adui wa Israel?
Sasa sasa hivi si kuna serikali inayopendwa na Israel na Marekani kama nyinyi mlivyo kuwa mnataka sasa mnalia nn?
 
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji hayo hii inaonyesha wazi ni jinsi gani Umoja wa Mataifa na Jumuia zake walivyo wanafiki wa kutupwa!!!
inaumiza sana
 
Ndio mliyataka aya!!! Tukiwaambia IRAN taifa teulle mnabisha na kuleta ulokole wenu!!!

sasa Assad alikuwa anasapotiwa na Iran Wagalagatia wenzenu walikuwa Salama sasa kiongozi mpya anaugwa mkono na ISRAEL!!!!

kazi moja kwasasa mnapigwa kipondo cha taifa teule!!!

ndio mkiambiwa Waisrael na wakristo ni paka na panya awaivi popote!!! Japo mmngekuwa na uwelewa mngewaunga mkono WaIran!!!

Ayatollah japo anashehelekea Xmas lkn nyie mmegandana na Israel aya sasa mchutame tu!!!!! Msitafute pakuegemea!!!!!
Umefurahi kuona wagalatia wanauwawa eeeeh!
Ila Wapalestina wakiuwawa?
 
Lakini nyinyi si .likuwa hamumtaki Asad kwa sababu alikuwa rafiki wa Iran na adui wa Israel?
Sasa sasa hivi si kuna serikali inayopendwa na Israel na Marekani kama nyinyi mlivyo kuwa mnataka sasa mnalia
 
Lakini nyinyi si .likuwa hamumtaki Asad kwa sababu alikuwa rafiki wa Iran na adui wa Israel?
Sasa sasa hivi si kuna serikali inayopendwa na Israel na Marekani kama nyinyi mlivyo kuwa mnataka sasa mnalia nn?
Unashida kichwani.
Hao wanaouwawa umeambiwa ni wakristo waliokuwa wanamuunga mkono ASAD.
Sasa ni wapi ulipoambiwa hawakumtaka ASAD sababu ni rafiki wa Iran?
Allah ni muuwaji, anapenda damu za watu.
Allah ndio shetani mwenyewe. Maana sifa zote za shetani Allah anazo.
 
Nawaongelea nyinyi wagaratia wa hapa jf.
 
Wakati wanawaua wenzao wanapiga kelele "Allah Akbar" Sasa sijui huwa kuna uhusiano gani kati ya huo mlio wa Allah Akbar na damu za watu!
 
Lakini nyinyi si .likuwa hamumtaki Asad kwa sababu alikuwa rafiki wa Iran na adui wa Israel?
Sasa sasa hivi si kuna serikali inayopendwa na Israel na Marekani kama nyinyi mlivyo kuwa mnataka sasa mnalia nn?
Kabisa waache kulia lia na waimbe mapambio yao ya Taifa teule ukililaani naww unalaaniwa!!!!!!! Wengi sasa wanakimbilia lebanon ilipo Hizbollah!!!! Wanajua kule ndio watapata salama!!!
 
Kwa upande wangu huwa naona ni ujinga sana kufa kisa dini

Kwa upande wangu mjahidina wakija namkana yesu mapema sana sko tyr kufa kisa RC
 
Back
Top Bottom