Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji hayo hii inaonyesha wazi ni jinsi gani Umoja wa Mataifa na Jumuia zake walivyo wanafiki wa kutupwa!!!