Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Umeona eegMie naamini asilimia 100 hajauwawa sababu ya usagaji. Migodini hasa migodi mikubwa kama GGM na BULYANHULU kuna dili nyingi sana haramu.
Wanaharakati wakisikia vifo kama hivyo, kwao inakuwa fursa ya kuongeza mpunga toka kwa wale wazungu. Ndio maana wanapiga kelele mingi ili isikike.Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila.
Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine.
Kwanini kwa huyu Milembe kuuawa wanaharakati mbinue midomo kudai kauwawa kisa ni shoga na msagaji?
- Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga?
- Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga?
- Wafanyabiashara wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga?
- Albino wangapi wanauwawa hamsemi ni ushoga?
- Mapadri wangapi wanauwawa kwanini hamsemi ni ushoga?
- Masai wangapi wanashambuliwa hamsemi ni ushoga?
Hakuna serikali yoyote inayopenda mwananchi auwawe kutokana na tabia yake njema au mbovu. Kuwa na tabia njema au mbovu haina maana uko salama mbele ya mikono ya watu wenye nia ovu juu yako. Kila mtu anakazi yake inayomuingizia kipato iwe njema au mbovu ni kazi yake.
Ushoga na usagaji ni kazi kama ilivyo ujambazi n.k. Katika harakati za pesa huwa kuna kuzulumiana au kukosana na wengine mnaoshiliki nao dili la pesa. Hivyo watu hao wakiamua kutekeleza nia ovu ya kisasi huwa haibagui kwamaba huyu ni shoga tumuache na yule padri tumuue.
Mauaji ya milembe kwanini tusiyahukumu kama mauaji ya kisasi, kibiashara, kikazi au pengine kishirikina? Inakuwaje wanaharakati mkimbilie kutuhumu kwamba kauwawa kwasababu ni msagaji?
Napata mashaka makubwa na mienendo ya Fatuma Karume na Maria Sarungi. Kauli zao ni uchonganishi wa serikali na mataifa mengine.
Wataficha wapi sura zao kama upelelezi ukibaini kinyume, mfano aliyeuwawa alikuwa miongoni mwa watu waliokula njama na kugeukana katika utoroshaji dhahabu?
Ahahahahaa To yeye katika ubora wako..!!! Kwahiyo wanawake hutoa mbususu nje na akili wanapeleka nje?Wataleta sababu kibao lakini ukweli upo waz....kusagana watu husagana mbona fresh tu ...tatizo ni kuchukua wake za watu....mwanamke akichepuka mpaka hisia zote anaziacha nje akiwa na mumewe hataki hata kuguswa mwili.
Mke wa MTU ni tofauti na mume wa MTU...Mume wa MTU anaweza akawa anakula hadi mdogo wako....Dogo asipojishaua bas mke huji kugundua mumeo anachepuka....wanaume hutoa dudu nje akili huacha ndani
Ahahahahahahaaaa...!!! Asante kwa ushauriVyote,usipojiangalia na vitu vya ndani atapeleka
KaribuAhahahahahahaaaa...!!! Asante kwa ushauri
DuhVyote,usipojiangalia na vitu vya ndani atapeleka
Usilete utetez ndugu.Uchunguzi utafanyika vizuri tu ,na wote watakamatwa.Na wao ndio watasema ukweli.Wala usipoteze muda wako kuanza kuwa advocate.Tulia kimya ushahid na ukweli utapatikana.Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila.
Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine.
Kwanini kwa huyu Milembe kuuawa wanaharakati mbinue midomo kudai kauwawa kisa ni shoga na msagaji?
- Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga?
- Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga?
- Wafanyabiashara wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga?
- Albino wangapi wanauwawa hamsemi ni ushoga?
- Mapadri wangapi wanauwawa kwanini hamsemi ni ushoga?
- Masai wangapi wanashambuliwa hamsemi ni ushoga?
Hakuna serikali yoyote inayopenda mwananchi auwawe kutokana na tabia yake njema au mbovu. Kuwa na tabia njema au mbovu haina maana uko salama mbele ya mikono ya watu wenye nia ovu juu yako. Kila mtu anakazi yake inayomuingizia kipato iwe njema au mbovu ni kazi yake.
Ushoga na usagaji ni kazi kama ilivyo ujambazi n.k. Katika harakati za pesa huwa kuna kuzulumiana au kukosana na wengine mnaoshiliki nao dili la pesa. Hivyo watu hao wakiamua kutekeleza nia ovu ya kisasi huwa haibagui kwamaba huyu ni shoga tumuache na yule padri tumuue.
Mauaji ya milembe kwanini tusiyahukumu kama mauaji ya kisasi, kibiashara, kikazi au pengine kishirikina? Inakuwaje wanaharakati mkimbilie kutuhumu kwamba kauwawa kwasababu ni msagaji?
Napata mashaka makubwa na mienendo ya Fatuma Karume na Maria Sarungi. Kauli zao ni uchonganishi wa serikali na mataifa mengine.
Wataficha wapi sura zao kama upelelezi ukibaini kinyume, mfano aliyeuwawa alikuwa miongoni mwa watu waliokula njama na kugeukana katika utoroshaji dhahabu?
Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila.

Unaongea kitu ganUsilete utetez ndugu.Uchunguzi utafanyika vizuri tu ,na wote watakamatwa.Na wao ndio watasema ukweli.Wala usipoteze muda wako kuanza kuwa advocate.Tulia kimya ushahid na ukweli utapatikana.
Ndiyo ushatia neno hapoSio lazima kila sehemu nitie neno ngoja nikae kimya
😁Mada zingn zipo juu ya upeo wanguNdiyo ushatia neno hapo
Ova
Award herWataleta sababu kibao lakini ukweli upo waz....kusagana watu husagana mbona fresh tu ...tatizo ni kuchukua wake za watu....mwanamke akichepuka mpaka hisia zote anaziacha nje akiwa na mumewe hataki hata kuguswa mwili.