A
Anonymous
Guest
Mimi ni jirani ninayeishi Kata ya Matevezi au Ngaramtoni ya chini, Arusha Manispaa.
Nimekuwa nikisikia kelele za yowe mara nyingi Waraibu wakiadhibiwa katika Kituo hiki kinachomilikiwa na Kijana anayeitwa Tariq.
Juzi kuna kijana anayechunga Mbuzi huwa nina mazoea ya kumpa matunda alikuja akiwa amebadilika kihisia ndio akaniambia kuna mwenzao anayejulikana kwa jina moja la Faustine amepigwa akazimia hali iliyompelekea kupelekwa hospitali ambapo jioni alikata roho.
Waliompiga wanajulikana na kuna mchezo mchafu unaendelea ili iwe siri. Naliomba Jeshi la Polisi na Kitengo cha DSO wafuatilie habari hii mara moja sababu naambiwa wawili kati ya waliompiga majina yao Baraka na George wameshawezeshwa kutoroka na kwenda kufichwa.
Nawasilisha.