DOKEZO Mauaji ya mraibu katika kituo cha Arusha Sober House

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mi Nina kichwa kigumu, aliyeuawa ni mtu aliyekuwa sober au ni wa nje ya sober? Mara mchunga mbuzi yaani sielewi
 
Duh!!,Mimi nilijua Sober house waraibu wanasaidiwa kuachana na madawa ya kulevya,kumbe kuna kupigwa vibaya tena?.Mhhh!!,hii ni hatari.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Yaani mkuu pale kulikuwa na chumba kimoja ambapo mnyororo umefungwa kwenye nondo ya dirisha ili ikitokea mraibu umeenda kinyume utapigwa na watu kama sita hivi ambao ni kikosi maalum then utapelekwa kwenye hicho chumba na kufungwa kwa siku kadhaa watakazoona wao then watakutoa wakipenda

Cku wakijua ndugu zako wanakuja kukusalimu ndo utapetiwa na huenda ndo ukawa mwisho wa kifungo chako
 
Mi Nina kichwa kigumu, aliyeuawa ni mtu aliyekuwa sober au ni wa nje ya sober? Mara mchunga mbuzi yaani sielewi
Ngoja nikueleshe..Hao wanaotuhumiwa kuua ni waraibu ila manyapara,wao huruhusiwa kutoka nje,kuadhibu waraibu wenzao waliopo ndani ya sober n.k..hivyo aliyeuawa kwa mujibu wa mleta mada siyo mraibu ila wanaotuhumiwa na waraibu wenye vibali vya kutoka nje either kuwaletea waraibu hawa form one mahitaji n.k
 
Nafikiri aliyeuawa nae ni mraibu maana kwenye heading kaandika "Mauaji ya mraibu.......".
 
Ngoja nikueleshe..Hao wanaotuhumiwa kuua ni waraibu ila manyapara,wao huruhusiwa kutoka nje,kuadhibu waraibu wenzao waliopo ndani ya sober n.k..hivyo aliyeuawa kwa mujibu wa mleta mada siyo mraibu ila wanaotuhumiwa na waraibu wenye vibali vya kutoka nje either kuwaletea waraibu hawa form one mahitaji n.k
Nashukuru mkuu! Ila soma heading
 
Hivi ipo ya kuacha NYETO? Nataka nipeleke Member watatu wa JF humu.. waache huo uraibu.
 
Sober nyingi huwa kama vile zaid ya jela mixer kufungana kamba au kupigwa mbona kwa wenzetu wazungu ujinga huu hakunaga
Lazima wadundwe Teja London hawezi kuwa sawa na Teja wa ungalimitedi
 
Kuna jamaa yangu anataka kumpeleka mdogo wake huko sober house,ngoja nimpe hii taarifa
 
Back
Top Bottom