Founder wa Kilwa Empire wakati ameikuta Kilwa ipo? Tuache kuwatukuza hawa watu weupe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Punguza jazba, hajatukuzwa mtu hapa unaotafutwa ni ukweli. Hata kama alikikuta lakini yeye ndie alianzishwa utawala huo unaoitwa Kilwa Empire. Kaa kwenye hoja mkuu, Jamaa hapa wanalazimisha kutuaminisha kama Kabla utawala wa wafalme wakioman Kulikua na utawala wa Kibantu ambalo sio sahihi kabisa.