Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika!

Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika!

sawa kabisa na ndio maana nimewaacha wewe na chilubi ni wale wabaguzi wenye mizizi ya kiarabu, mnadhani mm ni CCM au damu ya TANU
Kiufupi waarabu hatari waliotapakaa mpaka huku bara km Mwanza Shinyanga, Kigoma Dodoma Kondoa Tanga Dsm wenye asili ya KiMahara, Kikoja, KiOman, KiAjemi, kigunya wapemba nk wanadhani Visiwa vya Unguja na Pemba ni mali yao na hawataki kuchanganyika na yeyote kwani walipofika visiwani hawakumkuta tu ila Manyani, ndio maana Mwl J.K. Nyerere alisema angetamani visiwa hivo angevisogezea huko Arabuni lakini kwa Wosia aliotuachia ni kwamba Asilani wasijetawala hivyo visiwa, ndio maana CCM inachukiwa sana na nimewaomba hizo shuhuda mtuwekee hapa mnaruka na kutuficha.
Niliamini siku ya matokeo ya Uchaguzi huko Visiwani Kiongozi mmoja alitamka huu ushindi sasa ndio mwisho wa Mkoloni mweusi wakati yeye ni Mbantu halisi lakini ule uongo wa kiarabu unampa ndoto iko siku Visiwa vitakuwa Dubai akiondoka mtawala tena mzaliwa halisi na si mgeni Mbantu halisi
Jamani endeleeni na ndoto hizo na mm nitaamini tu mtakapoelezea mwarabu kawaje mtu wa visiwa hivyo bila kumkuta mbatu?
😀 😀 😀

Mbona mbaguzi hapa ni wewe? Mbona wewe unaonesha kuwachukia waarabu?

Hivi unafikiri Nyerere alisema vile kwa sababu ya uarabu Zanzibar? Anajua vyema kuwa lau kama Zanzibar ikipata mamlaka kamili, tutawaacha mbali sana kwa maendeleo. Tena sana, kitu ambacho Nyerere alikichukia sana kuona Zanzibar ikiendelea.

CCM inachukiwa sana kwa sababu ni wanafik na wabaguzi. Walisema mpemba kuingia ikulu ni sawa na mbwa kuingia msikitini, Mungu akawalaani na kuwapa DK. Sheni mpemba ambae ameingia ikulu 😀

CCM waliendesha kampeni na kusema kuwa Maalim Seif anataka kurudisha Usultan Zanzibar, Mungu akawaonesha raia wazanzibar kuwa atakae warudisha sultan zanzibar sio maalim seif bali ni hao hao CCM. Akatuthibitishia siku Ujumbe kutoka Oman ulivokuja Zanzibar, meli za mizigo zote ziliwekwa nje kupisha meli ya mfalme, bandarini hapakuwa na kazi mpaka meli ilipoondoka. Ukisikia Baniani mbaya kiatu chake dawa ndio hichi!

Hao aliowaambia kuwa mwisho wa ukoloni mweusi na wao walikuwa weusi basi kama hujui. Zanzibar imetoka kwa mkoloni beberu mreno, ikaingia Sultan wa Oman, usultan ambao baadae ukawa chini ya beberu muingereza, baada ya kupata uhuru na kufanyika mapinduzi wakuja kama kina Ukwaju na okello wakajifanya wakombozi, kumbe na wao wakawa wakoloni. Sasa wazanzibar hawataki kutawaliwa na mkoloni mweusi, kheri warudi mabeberu na masultan.

Nitajia mkoloni aliehamisha mji mkuu wake kutoka nchi yake na kufanya mji wa sehemu aliyokoloni kuwa ndio mji mkuu wake.

By the way, kwa kisiwa cha Zanzibar, na potential ilokuwepo, watu 1.5m, ina uwezo wa kuwa zaidi ya dubai. Tatizo ni mkoloni mweusi tu.
 
Kwani CCm si Mkoloni?
 
Sasa ndio umefunguka na kujulikana ni mgeni unayeivamia Zanzibar na kuwachukia wenyeji
Oman haikuhamisha Mji wao Mkuu kuwa Zanzibar bali Sultani Sayyid aliugawa Utawala wake sehemu 2 kwa wototo wake na ndio maana Jamsheed hajarudi Oman
acha kutunga weka evidence au link hapa mezani
na mm niwape kisa cha PUNDA HAPANDI MUSCAT
 
Naona anajigonga mwenyewe.... Tangu mwanzo anatwambia kuwa eti wenyeji walimwambia muingereza aje awasaidie kumuondoa Muoman. yaani ata uko UVCCM sifikiri kama wanaweza kuwalisha watu upupu kiasi ichi 😀
sasa Sheikh tunaenda sawa nilichokitaka ni kuweka kumbukumbu kuwa kisiwa hicho wageni wamekuja kukitawala na hawataki kutoka wabakia wajukuu wanadai kwao
Hao aliowaambia kuwa mwisho wa ukoloni mweusi na wao walikuwa weusi basi kama hujui. Zanzibar imetoka kwa mkoloni beberu mreno, ikaingia Sultan wa Oman, usultan ambao baadae ukawa chini ya beberu muingereza, baada ya kupata uhuru na kufanyika mapinduzi wakuja kama kina Ukwaju na okello wakajifanya wakombozi, kumbe na wao wakawa wakoloni. Sasa wazanzibar hawataki kutawaliwa na mkoloni mweusi, kheri warudi mabeberu na masultan.
Sasa Mzanzibar ni yupi tungeanzia hapo ndipo tungehitimisha kwanini Marehemu Sheikh Abeid Karume kauawa na Mwl Nyerere akasema ningekuwa na uwezo visiwa hivyo ningevisukumia mbali.
Kosa la Mzee Nyerere
Sisi Wazanaki tuna sifa mbili kwa majirani zetu…
Kwanza, ni wajanja, na sifa ya pili ambayo inaifuata sifa ya kwanza, ni kuwa si waaminifu. Watu husema ‘Rafiki wa Kizanaki atakuuwa’ ambayo si kweli. Sijui vipi tumeipata sifa hiyo… —Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Ningekuwa na uwezo, ningevikokota visiwa va Zanzibar nikavitupilia mbali katikati ya Bahari ya Hindi. —William Edgett Smith Wanayaita mapinduzi, lakini sisi tunasema mavamizi. —Sultan Sayyid Jamshid bin Abdullah Mzee Faraji Nilipata kusikia kutoka kwa mmoja wa Marais wa zamani wa Zanzibar, kuwa manunguniko na madai ya Wazanzibari yaliyoanza katika miaka ya 70
https://kwaheri.files.wordpress.com/2010/05/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru.pdf
Zanzibar kuna wachache sana waliobaki ambao hawawataki wageni na vurugu zikitokea ndio wa mwanzo kukimbilia Bara na mombasa
Asanteni sana kwa Historia yenu mnayofunguka bila ushahidi wala Link
 
Pole sana mkuu. Chuki, Choyo na Ubaguzi Vinakuumiza. Ni maradhi mazito sana hayo. Sina Chakukusaidia zaidi ya kukuombea
GET WELL SOON rafiki
Mkuu mm niliona km chilubi anaijua sana Historia ya Zanzibar na anakusaidia kuijua kweli
labda ungempa vile vitabu vya akina Farsi na Ghassany vimfungue na kumpa mwanga aujue ukweli na apime mwenyewe
kunaKitabu cha Mzanzibar Mmarekani lkn ni PDF
https://kwaheri.files.wordpress.com/2010/05/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru.pdf
Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru!
Harith Ghassany
info@kwaherikwaheri.com
SOMA HAPA KWANZA
Usambazaji wa kitabu hichi kwa mfumo wa Free Electronic Downloading unafanyika chini ya mkataba wa Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 3.0 ambao uko chini ya Sharia za nchi ya Marekani.
Kwa mujibu wa Mkataba na Sharia hii, mtu anayekichukuwa kitabu hichi kupitia mfumo huu ana uhuru pia wa kukigawa, kukirudufu na kukisambaza chini ya masharti yafuatayo:
Kulitaja jina la mwandishi wa kitabu kwa njia isiyohalalisha matumizi • binafsi ya kitabu
Kutokitumia kwa makusudi ya kibiashara wakati kinauzwa katika mfumo • wa kitabu
 
Sasa ndio umefunguka na kujulikana ni mgeni unayeivamia Zanzibar na kuwachukia wenyeji
Oman haikuhamisha Mji wao Mkuu kuwa Zanzibar bali Sultani Sayyid aliugawa Utawala wake sehemu 2 kwa wototo wake na ndio maana Jamsheed hajarudi Oman
acha kutunga weka evidence au link hapa mezani
na mm niwape kisa cha PUNDA HAPANDI MUSCAT
😀 😀 😀 nani anakufundisha historia?

Sultan Said hakuugawa ufalme wake. wakati akiwa mtawala Zanzibar, alihamisha mji mkuu wa Oman na Zanzibar ndio ikwa mji mkuu wake.... Ufalme wa zanzibar na Oman ulivunjika baada ya kifo chake na watoto wake kuanza kugombania kiti.

Rudi tena Primary usomeshwe hii historia nyepesi, au njoo Zanzibar tukupeleke ukapewe historia mjengoni na wasimamizi.

Hii Picha hapa chini kutoka kwenye ile source yako pendwa.... nashangaa hukuitembelea.

Move.JPG
 
sasa Sheikh tunaenda sawa nilichokitaka ni kuweka kumbukumbu kuwa kisiwa hicho wageni wamekuja kukitawala na hawataki kutoka wabakia wajukuu wanadai kwao
Hatuendi sawa mkuu, wewe unajigonga na hsitoria yako ya kutunga na uzushi..... kwani wenyeji kina nani na wakati wao pia wakuja?

Sasa Mzanzibar ni yupi tungeanzia hapo ndipo tungehitimisha kwanini Marehemu Sheikh Abeid Karume kauawa na Mwl Nyerere akasema ningekuwa na uwezo visiwa hivyo ningevisukumia mbali.
Tuvute katiba itwambie Mzanzibar ni yupi.... Na tumuulize nyerere alipo kwanini angevisukumia mbali visiwa ivi....
 
Mkuu mm niliona km chilubi anaijua sana Historia ya Zanzibar na anakusaidia kuijua kweli
labda ungempa vile vitabu vya akina Farsi na Ghassany vimfungue na kumpa mwanga aujue ukweli na apime mwenyewe
kunaKitabu cha Mzanzibar Mmarekani lkn ni PDF
https://kwaheri.files.wordpress.com/2010/05/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru.pdf
Mbona hicho kitabu sijakisoma chote lakini kuna kipande kifupi tu tayari kinaonesha kuwa Sultan Zanzibar alieka heshima baina ya watu wa makabila tofauti na walikuwa wakiishi na amani na hadi mmishinari kusifia?

Sasa wewe huoni kama hichi kitabu tayari kinaenda kinyume na chuki zako dhidi ya waarabu? 😀 mi nna wasiwasi kuwa huna ulichosoma zaid ya kuhadithiwa upupu...

Unaleta links zinazokugonga mwenyewe... we mtu wa ajabu kweli
 
kwani kukuwekea Link ni kuonesha kuwa nakiunga mkono katika Hoja zangu za kumkataa mwarabu Visiwani au ninakupa Ushuuhuda kuwa wapo Waarabu wanayoyapinga Mapinduzi Matukufu
huyu mwandishi ni AFRABIA jina lililoanzishwa na Ali Mazrui kuonesha kuwa kuna kaTaifa kanataka kukaa katikati ya Afrika na Arabia na kosa kubwa limejitenga kiDini zaidi na chuki kwa mtu mweusi na ndio maana kitabu hicho kinakufaa ujue uongo mnaotuaminisha kuwa ni chuki za kiDini zilileta mapinduzi
Jambo lilokuwapo wakati ule wa nyuma ni kuwa Zanzibar si nchi ya Kiafrika kwa sababu ilikuwa na utawala wa Kisultani ambao ni wa asili ya Kiarabu na wa Kiislam. Na si hivyo tu ulikuwa utawala uliotanguliwa na tawala nyengine kongwe za Kiislam katika Pwani ya Afrika Mashariki na ushawishi mkubwa ndani ya bara la Afrika Mashariki na Kati ambazo pia zilikuwa zina asili ya mchanganyiko wa Kiarabu na wa Kiafrika. Hilo halikuwa jambo geni kwa Afrika Mashariki na Kati ziliyoko chini ya Jangwa la Sahara. Tatizo lilikuja pale wakoloni wa Kizungu walipoona wazi kuwa kuna mahusiyano mazuri na makubwa baina ya Zanzibar yenye ushawishi Afrika Mashariki na Kati na nchi za Kiarabu za Kaskazini ya Afrika ambazo zilikuwa dhidi ya Wakoloni wa Kizungu.
Mwandishi huyu na wewe mpo sawa kimlengo wa kutuaminisha kuwa hayo Mapinduzi hayakuletwa na Waislamu ni John Okello Mkristo HIZO NI FITINA KUBWA ZA WAARABU
 
Kuhusu Usultani wa Oman kuja kuuweka Utawala wake katika Visiwa vya Zanzibar bado ilikuwa ni makosa na ndio maana hawa Afrarabia hawarudi tena Oman na ndio nikakuuliza Jamshed mbona haendi kwao? Lakini ujuwe utawala ulikuwepo miaka na miaka huko Omana na biashara zilikuwepo za viungo na Utumwa
Zanzibar was separated from Oman after Said’s death in 1856 when his son Majid bin Said became the first sultan of Zanzibar. Although Majid consolidated his power around local slave trade, his successor Barghash bin Said helped abolish slave trade and largely developed the country’s infrastructure. This was done through a treaty with the British in 1873 that aimed to replace slave revenue with legitimate economic activities such as trade of rubber and ivory.
However, in 1885, Barghash began to lose control over trading routes when the Society for German Colonization forced local chiefs to agree to German protection. In 1886 the British and Germans colluded to gain control over Zanzibar’s trading routes
Kwa mujibu wa Mwandishi hapa chini anaonesha Zanzibar kwa hao Afrarabia wanaitaka Zaznibar ibakie katika Uarabu Uislam na ikae mbali na Beberu )Mtanganyika)
Kwa mujibu wa Sheikh Ali Muhsin. “Tulitaka kutokeya mwanzo tujihusishe na Masri peke yake chini ya Gamal Abdel Nasser kwa sababu tulikuwa na vitu vitatu vya kutuunganisha: Uwarabu, Uislamu na dhidi ya Ubeberu. Hawatotubadilisha kwenye kitu chochote chengine kipya. Masri walikuwa watupe ndege zao za ‘Al-Qahira’ ambazo zilibuniwa na mbunifu wa ndege wa Hitler
Chilubi Historia ya Zanzibar ya biashara ya Utumwa ndiyo ninayoijua lkn kuwa mtaarabu huyu mtu hapana ni mpaka leo anajitenga na mengi (Afrabia)
 
kwani kukuwekea Link ni kuonesha kuwa nakiunga mkono katika Hoja zangu za kumkataa mwarabu Visiwani au ninakupa Ushuuhuda kuwa wapo Waarabu wanayoyapinga Mapinduzi Matukufu
huyu mwandishi ni AFRABIA jina lililoanzishwa na Ali Mazrui kuonesha kuwa kuna kaTaifa kanataka kukaa katikati ya Afrika na Arabia na kosa kubwa limejitenga kiDini zaidi na chuki kwa mtu mweusi na ndio maana kitabu hicho kinakufaa ujue uongo mnaotuaminisha kuwa ni chuki za kiDini zilileta mapinduzi
Abaaa, Sasa kama nchi ilikuwa inakwenda vizuri na hakuna aliekuwa akionewa, kwanini watu wasipinge mapinduzi? Kwani kupinga mapinduzi ni dhambi? Taifa gani hilo linalotaka kukaa katikati ya afrika? Sudan, Somalia, Egypt, Algeria, Moroko, mbona wote hawa wanaongea kiarabu na wapo afrika? Ubaguzi na chuki zako dhidi ya waarabu na wazanzibar kwa ujumla zitakufanya uweweseke sana.

Mwandishi huyu na wewe mpo sawa kimlengo wa kutuaminisha kuwa hayo Mapinduzi hayakuletwa na Waislamu ni John Okello Mkristo HIZO NI FITINA KUBWA ZA WAARABU
Kwani mapinduzi yameletwa kwa lengo gani? na kwanini tusiamini kuwa lengo la mapinduzi ni kuuondoa uislam ikiwa mifano hai tunaiona saiv? Chuki zenu kwa waislam, chuki zenu kwa wazanzibari, jinsi mlivokuwa brainwashed kwenu nyie muarabu ni adui kuliko beberu wakati mwarabu huyu katawala fukwe tu. Waulize Wacongo mabeberu waliwafanya nini kisha linganisha na walichofanya waarabu. Halafu naomba uniletee picha halisi zenye kuonesha kuwa Waarabu Zanzibar waliwafanya wazanzibari watumwa. Usiniletee michoro ya darasa la sita.\

Kuhusu Usultani wa Oman kuja kuuweka Utawala wake katika Visiwa vya Zanzibar bado ilikuwa ni makosa na ndio maana hawa Afrarabia hawarudi tena Oman na ndio nikakuuliza Jamshed mbona haendi kwao? Lakini ujuwe utawala ulikuwepo miaka na miaka huko Omana na biashara zilikuwepo za viungo na Utumwa
Unakimbia kivuli chako? Ulichoquote nilikuwa nakujibu UZUSHI wako. Historia nyepesi na za juu ambazo hazina siri ndani yake huijui utaijua yenye undani zaidi. Wacha uongo wewe jamaa, ulisema kuwa eti Sultan Said hakuweka makao makuu yake Zanzibar nimekuletea kipande kimekufanya uwe kipofu 😀 Wacha uzushi na chuki.

Suala la Jamshed kutoenda sio kwamba eti hatakiwi kwao, usitake kunichekesha saiv. Hawa watanzania walioenda kujichimbia ulaya wamefukuzwa makwao? poor judgment!
Chilubi Historia ya Zanzibar ya biashara ya Utumwa ndiyo ninayoijua lkn kuwa mtaarabu huyu mtu hapana ni mpaka leo anajitenga na mengi (Afrabia)
Kwani Biashara ya utumwa alianza muarabu Zanzibar?
 
Black widow FaizaFoxy
===>Soma na wewe hapa uache porojo zako.

===>Punguza kuropoka ongeza maarifa hapa,bila kuchapwa viboko.
===>Kwa wale ambao sio wavivu wa kusoma someni makala hizi ili mpunguze maswali yasiyokuwa na kichwa wala miguu
1. Raia Mwema - ABEID KARUME: Aliuawa kulipiza kisasi au kumpindua? III
2. Raia Mwema - ABEID KARUME: Aliuawa kulipiza kisasi au kumpindua? IV
===>Kila kitu kimeandikwa kwenye hizo makala,hao wanaoulizwa sijui kanali mhfudhi woote wameelezewa hapo.
hapa yatapatikana mengi sana safi sana Members wa JF
 
kwa ufahamu wangu nakumbuka wakati ule nikijana mdogo mwenye akili yangu timamu tulikuwa tunangalia kesi ya marehemu karume kupitia TVZ ,kulikuwa na Mtu ambae huwa hatajwi jina isipokuwa hutajwa kama MR X
Pili tujiulize kwa nini mzee karume mpaka nakata mauti alikuwa hazungumzi na Kambarage (kamnunia )
Tatu ni nani alisababisha kifo cha Khanga
Nne ni nani aliyeamrisha kupelekwa zanzibar Bititi na kufanyiwa machafu na mateso ambayo sitoweza au hayastahiki kuandikwa hapa
Mama karume anasema ni kambarage peke yake aliwahi kumfariji lakini basi tusisahau panya akutafunapo(kungaka) huwa anakupuliza usipate maumivu
Lamwisho nataka kuchangi kuhusu wanajeshi walipotaka kumpa urais seif Bakari Kambarage akasema haitowezekana kufanya hivyo na akatowa sababu zake na ndipo wanajeshi wakakubaliana nae kwa ushauri huo
sasa ukiangalia Director
wa mchezo wote anaeleweka na wla huhitaji (Brain surgery)kulijuwa hilo (kuelewa ) ni nani alikuwa Behind all this
Nyie mliokuwepo ni bora mkatueleza sisi vijana ambao hata haukuona utawala wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikichambua kwa haraka tu kutoka kwenye makala yako, na nikiongeza yale machache niliyowahi kuyasikia na yakakubaliana na akili yangu kwamba yanaweza kuwa sawa, naweza kusema kama ifuatavyo, kwa ufupi tu:-

1) Karume aliuliwa na wanasiasa/mwanasiasa aliyekuwa na nguvu ya kutosha ya ushawishi na utawala enzi hizo. na huyo mtu ndie aliyepanga mkakati wa kuisotesha familia yake makusudi( kuna sababu ya hili na mpango mzuri kwa familia baadae kuwapoteza wasiweze kuhisi kwa urahisi kama ni yeye) , na ndie aliyeaamrisha urais asipewe kanali bakari ila apewe jumbe. waliotaka kumpa kanali bakari ni wale amabao hawakujua kama mauaji yalikuwa planned, na ndio maana pamoja na kwamba mauaji yalifanywa na mwanajeshi kama unavyosema lakini jeshi halikuchukua nchi kwa sababu jeshi kama jeshi halikuwa na hiyo plan, kutaka kumpa kanali bakari ni kwa sababu hawakuwa na plan ya mapinduzi ya kijeshi ila ilikuwa ni maamuzi ya ghafla kwa tukio la ghafla.

2) Aliyefanya mauaji hakuwa na shida na urais wa zanzibar, na ndio maana hakuna aliyeclaim urais huo bada ya mauaji wala hakukuwa na movement nyingine yeyote ya kutaka kufanya mapinduzi wala mauaji bada ya hapo.

3) Aliyepanga mauji hayo alikuwa anataka kile kilichotokea na kinachoendelea leo ambacho wengi hawakitaki. kingetokea pia bila ya mauji lakini kungeweza kuleta shida kidogo baadae kidogo kama jamaa angekuwepo, kutokuwepo kwake ilikuwa ni much green lighter.

Bahati mbaya muda haunitoshi, ningetoa ufafanuzi zaidi, lakini angalu mwenye akili zake anaweza kuunganisha dots, akaweza hisi kile ninachokiona mimi.

Sidhani kama kuna ukweli wa aliyekuwa Karume kwenye haya maandishi yako
 
Back
Top Bottom