Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika!

Founder wa Kilwa Empire wakati ameikuta Kilwa ipo? Tuache kuwatukuza hawa watu weupe

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Punguza jazba, hajatukuzwa mtu hapa unaotafutwa ni ukweli. Hata kama alikikuta lakini yeye ndie alianzishwa utawala huo unaoitwa Kilwa Empire. Kaa kwenye hoja mkuu, Jamaa hapa wanalazimisha kutuaminisha kama Kabla utawala wa wafalme wakioman Kulikua na utawala wa Kibantu ambalo sio sahihi kabisa.
 
Tawala za Waafrika zilikuwepo au kwavile wao walikuwa hawatunzi maandiko? Tatizo hidtoria ya Mwafrika imeandikwa na Mzungu na Mwarabu hivyo wakajipendelea yakwao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tawala za Waafrika zilikuwepo au kwavile wao walikuwa hawatunzi maandiko? Tatizo hidtoria ya Mwafrika imeandikwa na Mzungu na Mwarabu hivyo wakajipendelea yakwao tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwahiyo una pinga kuhusu uwepo wa huo utawala au nivipi? au hujahudhuria KIlwa na Zanzibar ukaona baadhi ya majengo yao?
 
Hilo ndilo Jibu Mkuu
unajua kuna watu humu Jamvini wana zile silika za waarabu kuwa walipokuja huku Bara walikuta nyika na maNYANI tu wakawakata mikia wakawasafirisha

Punguza chuki na Waarabu mkuu. Kwani kuna kitu walikufanyia au?
 
Pole sana mkuu, kwa kuwategemea wale mbona utaendelea kulishwa matango pori kwa sana tu
Wale wapo pale wameekwa na CCM, na watakachokwambia wao ni kile walichopangiwa na CCM tu.
Twambie ukweli mkuu tutakuskiliza. Je unauitambua Usultan wa kilwa?
nimeshasema Sultani ni mgeni pale Kilwa sawasawa na Mreno katika safari zao
na kwa vile Mwarabu ni mbaguzi hakutaka wale waliowakuta waishi nao hivyo waliwaua au kuwaHASI na ndio maana wakasisitiza PUNDA HAPANDI MUSCAT
toka mwanzo wewe na Chillubi nimewaomba muweke supporting doc kuwa hao waOman WaMahra, Waajemi kwao ni Pwani ya Afrika mashariki hamuweki mnakuja kubisha tu, na nilishasema hata Wachina walikuwepo hapo kabla ya miaka 2000
malizeni Mada zenj si wa Mwarabu ndio maana yake
 
Punguza chuki na Waarabu mkuu. Kwani kuna kitu walikufanyia au?
ni waongo sana wanajaribu kupindisha Histaoria ya kwelisoma para ya mwisho huyo Mshirazi kanunua hicho Kisiwa kutoka kwa Wabantu, wakati ni UONGO utanunua ardhi kwa shanga na abdalasin?
 
mbona Lugha nyepesi hii huyu Ali alikinunua hicho kisiwa kutoka kwa Mfalme Almuli
Ali is said to have purchased the island of Kilwa from the local Bantu inhabitants. According to one chronicle, Kilwa was originally owned by a mainland Bantu king Almuli and connected by a small land bridge to the mainland that appeared in low tide
kumbe nabisha na mtu wa aina nyingine
 

Mbona weye umeshindwa kututhibitishia kama Wabantu Afrika mashariki ndio kwao? tunakusubiria pia.
 
ni waongo sana wanajaribu kupindisha Histaoria ya kwelisoma para ya mwisho huyo Mshirazi kanunua hicho Kisiwa kutoka kwa Wabantu, wakati ni UONGO utanunua ardhi kwa shanga na abdalasin?

HUo ukweli uko wapi? mbona mnashindwa kutupa reference za kuthibitisha za huo ukweli mnaouzungumza?
 

Punguza uwongo mkuu. Twambie hebu muarabu kamuua nani? Na sisi tutaanza kukupa list ya waliouliwa na CCM.
 
Ndugu yangu Mada tumeimaliza kwani wote hamtuwekei Link km (Ushuhuda) evidence ya hayo msemayo ni kubwabwaja tu mm kwa majibu nimekuwekea kwanini hawa Ndugu waili wa Sultani Said waligombana na Muingereza kumuweka wampendae
kasome Post # 209
Inaonekana hujui hasa nini unataka kutwambia.

Wewe ulitudanganya kuwa eti wenyeji walitaka kumuondoa muoman kwenye hio shortest war. Lakini ulikuwa hujui historia ya shortest war, ukenda Wikipedia, na huko maskini hukuelewa kitu.

Nilikwambia kuwa shortest war cause yake ni ndugu katika ufalme na sio Zanzibaris vs Sulatante. Wewe ulijidai kuwa wenyeji walitaka kumuondoa MuOman wakati ni UONGO. Na huijui historia ya vita mpaka uende Wikipedia na huko hukuelewa pia.


Unajigonga mwenyewe!
 
Wabobeaji wapi? wale waliosema kuwa House of Wonder nguzo zake zimetengezwa kwa mafuvu ya muafrika? 😀 😀

Abaa kwenye historia ya zanzibar umefeli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…