Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
hakika kwa kweli,......kampuni kubwa kama hiyo ilitakiwa iwe na walinzi wanaotambulika sio kulindwa na wamasai.
Mchina aruhusiwi kwenda mabibo?Mchina alienda kufanya nini Mabibo
Ukute ni umalaya wake
Wachina kwao mikocheniMchina aruhusiwi kwenda mabibo?
Dahhπ€£π€£Wachina kwao mikocheni
Akifa mikocheni Kuna la kuzungumzwa
Mchina anakufa karibu na Ubungo kibangu sijui external huko kilimpleka nini
Hawa ndugu zetu wananjaa na nawajua
Juzi nimepita masaki nikakuta Mchina yupo nje barabarani anafua kuangalia mbele Kuna kigorofa kinajengwa siku Shangaa sana
Ila Kuna mmoja namjua alipanga uswahilini na anahudumia Mchepuko fresh tu
Mchina atoa kodi ya mwaka mzima uswahilini si anaona kafika huyo.!
Hawa mafala umalaya utawaua ukute kala Demu wa muhuni
Wachina wezi na siyo wawekezaji, na una vyosema hiyo kampuni kubwa huo ni Uongo kwenye nchi hii Wachina hawana kampuni kubwa za uwekezaji, hakua Mchina aliyewazudi wa zawa kwenye kuwekeza. Kama kununua chupa kwa waokota chupa ndiyo unakua Muwekezaji mkubwa'' je Dangote, Barrick, GGM, Bakhresa na wao tuwaweke kundi gani?Jeshi la polisi lifanye uchunguzi Mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji.
Suala la mchina aliyeuawa mabibo dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china.
Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni kubwa kama hiyo ilitakiwa iwe na walinzi wanaotambulika sio kulindwa na wamasai.
Wachina wezi na siyo wawekezaji, na una vyosema hiyo kampuni kubwa huo ni Uongo kwenye nchi hii Wachina hawana kampuni kubwa za uwekezaji, hakua Mchina aliyewazudi wa zawa kwenye kuwekeza. Kama kununua chupa kwa waokota chupa ndiyo unakua Muwekezaji mkubwa'' je Dangote, Barrick, GGM, Bakhresa na wao tuwaweke kundi ganiJeshi la polisi lifanye uchunguzi Mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji.
Suala la mchina aliyeuawa mabibo dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china.
Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni kubwa kama hiyo ilitakiwa iwe na walinzi wanaotambulika sio kulindwa na wamasai.
Mkuu mtoa hoja anasema huyo Mchina ni Muwejezaji mkubwa hapa Tanzania, tokalini Muwekezaji mkubwa akaishi Godauni.Ubahili wa kukwepa kukodi walinzi wa kampuni umemgharimu pesa na maisha yake.
Maasai hana dhamana zaidi ya shuka lake na sime.
Hana nyumba, ndugu mjini wala kitambulisho cha NIDA.
Kingine wanapenda kuishi maeneo ya kazi ili kuzuia kuibiwa mali zao, inaingia akilini Mkurugenzi wa Kampuni ukaishi kiwandani yani kupanga Nyumba hata Sinza ameona ni kupoteza pesa.Uyo mchina ubahili tu umempelekea umauti masikini sasa una miliki kampuni na pesa nyingi badala uajiri walinzi wakueleweka unaweka masai wakuwalipa 70k kwa mwezi si ujinga huo
πππππ ππ€£Madelu anasema hiyo ni michezo na haijaanza leo
Madelu anasema hiyo ni michezo na haijaanza leo
Alienda kufata nini huko naye???? Apumzike kwa amani