Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Kauliwa na walinzi wa kimasai, wafanyakazi wake mwenyewe, na kumuibia Million 10...Alienda kufata nini huko naye???? Apumzike kwa amani
Kauliwa na walinzi wa kimasai, wafanyakazi wake mwenyewe, na kumuibia Million 10...Alienda kufata nini huko naye???? Apumzike kwa amani
Dah huzuni sanaKauliwa na walinzi wa kimasai, wafanyakazi wake mwenyewe, na kumuibia Million 10...
Kwa bibi yangu mvuti kuna jumba wanakaa wachina wengi tuWachina kwao mikocheni
Akifa mikocheni Kuna la kuzungumzwa
Mchina anakufa karibu na Ubungo kibangu sijui external huko kilimpleka nini
Hawa ndugu zetu wananjaa na nawajua
Juzi nimepita masaki nikakuta Mchina yupo nje barabarani anafua kuangalia mbele Kuna kigorofa kinajengwa siku Shangaa sana
Ila Kuna mmoja namjua alipanga uswahilini na anahudumia Mchepuko fresh tu
Mchina atoa kodi ya mwaka mzima uswahilini si anaona kafika huyo.!
Hawa mafala umalaya utawaua ukute kala Demu wa muhuni
Wachina wachafu ukiwapangisha nyumba hawafanyi usafi wa mazingira. Yani siku ukienda kutembelea nyumba yako utakuta mapori mpaka mlagoni wao wanaona ubahili kulipa mfanyakazi wa Bustani, Tofauti na Wazungu, Wazungu wana ajiri Dada wa kulea mtoto, Dada wa Usafi wa ndani kufua na kupiga pasi, wanajiri mpishi kwaajili ya kupika tu, wanaajili Mlinzi, Dereva, Wawekezaji Wazungu tu hizo jamii nyingine Waganga njaa tu, Serikali ingetakiwa iwashawishi Wazungu kutoka Magharibi ili waje kuwekeza ili Wananchi tunufaike, kuliko kutuletea Wachina matapeli.iko kiwandq kingekua cha Mjerumani au Muingereza wala Masai wasinge pata nafasi ya kumuua.Kwa bibi yangu mvuti kuna jumba wanakaa wachina wengi tu