Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

Naomba kujua yule kada wa bukoba alisema tutawapoteza na polisi msimtafute na yeye kashaenda kuhojiwa au uchunguzi unaendelea maana bado watu wanapotea anajua wanakoenda na waliko wengine ambao wanatafutwa ... Polisi mngeenza na huyo mngejua mengi
imagine, wanakamata hawa waliotoa taarifa ila kada wa ccm aliyetoa kauli ya kichochezi, hakufanywa kitu. hivi ingekuwaje kauli kama ile ingetolewa na chadema au act.
 
Hakuna namna polisi wanaweza kujinasua kwenye kesi hii ya mauaji. Watu walioshuhudia akitekwa, wanasema alitekwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Na wakati ndugu wanamtafuta bila mafanikio, kumbe amefichwa na polisi kwenye mochwari ya polisi. Wanaponaje hapa?

PoliCCM ni mijitu ya ajabu sana. Yenyewe inaona raha kuua watu wasiokuwa na hatia kwa maagizo kutoka juu. Polisi ni kama mbwa wanaoamrishwa kufanya uhalifu na kutekeleza bila kuhoji na bila kutumia akili. Mipolisi ya nchi hii ni zaidi ya mitutusa au mizombi.
 
Polisi wa nchi hii wana mambo ya kiquma sana.
 
Nawe uwe unaunganisha dots, usiwe kichwa panzi.
 
Kafikaje mochwari ya polisi?
Kwann polisi wafiche hawajui alipo?
 
Haitasaidia kamwe, ushetani huu wa Jeshi la Polisi una mizizi yake ktk Katiba ya nchi. Kama kweli tunataka kuondokana na majanga Kama haya, ni lazima Kwanza kuondokana na Katiba hii iliyopo hivi Sasa kwani inawapa mamlaka Polisi ya kuua watu kiholela bila ya kuweza kuwajibishwa kisheria.
 
Nakumbuka Wale walikuwa Wafanyabiashara wa Madini kutoka Mahenge mkoani Morogoro.Waliuawa kwa makusudi na Mapolisi huko ktk msitu wa Mabwepande chini ya OCD Christopher Bageni ambaye alitoa amri kwa Askari Polisi walio chini yake ya kuwaua hao Wafanyabiashara na Kisha kupora pesa zao. Very sad indeed! Lilikuwa ni tukio baya sana.
Wito wangu kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akubali kusaini Hati ya Kifo ya OCD Christopher Bageni ili anyongwe hadi kufa, kwa sababu Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani zote tayari zimethibitisha kwamba mtu huyo anapaswa kunyongwa hadi kufa. Hii itasaidia kutoa fundisho kwa Askari Polisi wengine wenye Nia ovu kama ya huyo Christopher Bageni
 
NIna mashaka sana na wanaomsaidia mama.
 
Hii nchi bhana yaani ishakuwa Republic of Gangsters.

Thugocracy, kakocracy, tumbocracy and Chawacracy are everywhere, anywhere, Everytime. Inasikitisha.
 
Naomba kujua yule kada wa bukoba alisema tutawapoteza na polisi msimtafute na yeye kashaenda kuhojiwa au uchunguzi unaendelea maana bado watu wanapotea anajua wanakoenda na waliko wengine ambao wanatafutwa ... Polisi mngeenza na huyo mngejua mengi
sio bukoba ndugu, ni ngara!
wahaya hawana roho ya kuua kwa ajiri ya mali au madaraka.
wanatapeli tu!
 
Kafikaje mochwari ya polisi?
Kwann polisi wafiche hawajui alipo?
Aliuawa na polisi wakamficha kwenye mochwari yao wakipisha upepo upite na wakati huo wakitafuta namna watakavyotunga uwongo ili kuficha ukweli.

Walificha maiti waliyoua kwa kuwa wao ndio walimuua Mushi, hivyo waliogopa wakitaja haraka wakati hasira za ndugu wa marehemu hazijapoa, ndugu wangeweza hata kuchoma moto kituo cha polisi.
 
Enzi zile angesingiziwa JPM
Na kweli JPM alikuwa muuaji mkubwa sana. Ameuda watu maelfu kwa maelfu. Hadi alipokufa, watu aliwaua hawana idadi. Tazama jinsi alivyomkosakosa Tundu Lissu amemuachia vyuma mwili mzima. Ndio maana Mungu aliamua kumchukua na kumuacha Tundu Lissu akiendelea kuishi. Mungu hadhihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…