Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

Kwa maelezo hayo basi maiti hiyo haikufichwa ingekua ilifichwa hata hao ndugu wasingeiona maiti yake ilihifadhiwa tu, ila kama ndugu wana uhakika kuwa ameuwawa na polisi wanatakiwa waende tume ya haki za binadam na utawala bora wanaweza kupata msaada
 
Kuna vitu vinafichwa hapa sie tulio nje kabisa sio rahisi kuvijua.

Polisi na baadhi ya ndgu watakua wanajua mchezo mzima, sidhani kama hao wa kujiita polisi waende tu kumkamata mtu bila sababu yoyote.
 
Ushahidi wa video wakati anaua uko wapi? Lissu ni nadharia tu hadi wa leo hakuna kesi kwa waliompoga risasi,kama kweli JPM alihusika wangefungua kesi awamu hii au awamu yake mahakama za kimataifa.
Na kweli JPM alikuwa muuaji mkubwa sana. Ameuda watu maelfu kwa maelfu. Hadi alipokufa, watu aliwaua hawana idadi. Tazama jinsi alivyomkosakosa Tundu Lissu amemuachia vyuma mwili mzima. Ndio maana Mungu aliamua kumchukua na kumuacha Tundu Lissu akiendelea kuishi. Mungu hadhihakiwi.
 
Hapa pakiundwa time ya uchunguzi kuna jambo ovu litafunguliwa
 
Back
Top Bottom