Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Huwezi kumuua au kumfanyia ubaya mtu unayempenda sana hata kama amekosea
Mwanamke anapenda material thing sio mtu
Mwanamke kabla ya kuolewa hakikisha huyu jamaa anakupenda sana .
Acha kiherehere Cha kujidai unapenda mtu utaishia kujifanya TU pretender.