Jana usiku nilikutana na clip huyu askari nadhani yupo dawati la jinsia akawa anawashauri dada na wake zetu......
View attachment 3691516
Wengi hukimbilia kusema mkishindwana muachane tatizo linaanza wakati mpo kwenye process za kuachana kauli mnazorushiana zinamuumiza mwezako kwa kiasi gani?wanawake wengine akili mbovu anaweza katikati ya malumbano makali akamropokea mumewe
“hata hawa watoto siyo wako wewe nguvu za kunitia mimba uzitoe wapi?” na blah blah blah nyingine mtu anaangalia karibu pana nini kama kisu twende panga twende kishoka bunduki etc anashusha mgomba hata kama mwanamke alikuwa anatania.