Haujakosema mtoa mada, Biblia kwenye Kitabu Cha Waefeso 5:25 kinasema "Enyi Wanaume wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kabisa ...."
Hivyo hivyo wanawake nao wakaambiwa "Enyi wake, watiini waume zenu....."
Upendo unapokosekana wa mume dhidi ya mke wake, na Utii unapokosekana wa Mke dhidi ya mume wake, ndiyo haya mambo ya mauaji yanapotokea.
Wanaume huwa tunahitaji mke ambaye anaweza kututii na kutuheshimu
Jambo hili michepuko huwa wanalitumia sana kutushika, maana wanajua kuigiza Utii
Baada ya muda mume unatekwa jumla
Unapomwonesha upendo mke wako, hawezi kufikiria kukuua kwa sumu ama avizie umelala akinyofoe kichwa cha chini
All in all Utii na mapenzi, vinachangia ndoa zetu kuwa imara ama kuanza kwa migogoro