Mauaji yanayoongezeka yatokanayo na wivu wa mapenzi nini kifanyike?

Watu wagegedanw tuu hamna umuhimu wa ndoa. Kwanza utamu wenyewe hauna makombo ukitoka wewe mwengine akija utamu upo pale pale.
 
Wewe imagine mke anakucheat wakati unampiga mashine vizuri anakojoa ,mnakula na kunywa wote huku mnacheka ,mna watoto wazuri pamoja ,umempaa gari la kumsaidia mizunguko yake ,umewahi kumsamehe makosa makubwa makubwa nk nk- yaani kwa kifupi she cheated you at the best moment of your life.

RIP my friend Cosma
Halafu mbaya jamii inataka kulifanya swala la cheating kama jambo jepesi sana. Eti ukiona hamuelewani si umuache kwani lazma muumizane kwa vipigo? 😂😂😂....

With all the investment ya kujitoa muda wako pamoja pesa toka unajipanga na harusi hadi kujenga na kumpa privileges zote za kutumia mali zako.
 
Haitasaidia litakuwa somo kama Gender ambalo ndani yake Kuna gender equality
Gender equality haina technique za kusolve misunderstandings zinazotokea kwenye relationships as long as relationships zipo nyingi kuanzia family, business, works n others.. then huku juu wafundishwe ni namna gani wakontro emotions za mapenz.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wewe imagine mke anakucheat wakati unampiga mashine vizuri anakojoa ,mnakula na kunywa wote huku mnacheka ,mna watoto wazuri pamoja ,umempaa gari la kumsaidia mizunguko yake ,umewahi kumsamehe makosa makubwa makubwa nk nk- yaani kwa kifupi she cheated you at the best moment of your life.

RIP my friend Cosma
Aisee kumbe mwanamke aligawa njee wakati jamaa anampa kila kitu mpaka garii...!! Sema alichukua maamuzi magumu sanaa angeachana nae tuu mkuu.. Nimeona picha moja amepiga anapata kilajii..
 
Maadili yakazaniwe kwenye jamii,ukiangalia mauajia mengi,msingi wake ni uchepukaji.Tunaoa na wadada wanaolewa na watu ambao ufanyaji ngono umeanza kitambo,hivyo utuliaji wa wenza ndani ya nyumba,inakua shida.
 
Tusubir tu kupigwa kama Kenya wanaume wanavyotandikwa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna baadhi misemo ya wahenga tunashinda kuifuata mfano "fahari wawili hawawezi kukaa zizi moja" huo msema sio rahisi kugundua ila una maana Pana.

Nina maana gani watu walio level sawa hawawezi kukaa pamoja hta siku moja patakuwa na mtatizo ya hapa na pale tu!! Ndo at national level lazima pawe na kiongozi mmoja as the president mtu mweny mamlaka ya juu...katik level za wabunge wako level sawa si unaona wanavyobishana sometimes mpaka baadhi ya mabungu wanapigana kwamba wako level sawa.

Nakuja kweny mada huwezi kuoa mwanamke mko level sawa ya elimu akakusikliza au mna kipato kimoja ana kuchukulia easy .Dharau nyodo we asubuhi unaenda kazini na yeye anaenda hamna tofauti ni wachache wanaweza kumaintain heshima kwa wenza wao.
 
Halafu mbaya jamii inataka kulifanya swala la cheating kama jambo jepesi sana. Eti ukiona hamuelewani si umuache kwani lazma muumizane kwa vipigo? [emoji23][emoji23][emoji23]....

With all the investment ya kujitoa muda wako pamoja pesa toka unajipanga na harusi hadi kujenga na kumpa privileges zote za kutumia mali zako.
Ila Extrovert vitu vinatafutwa mkuu lakini hakuna duka la uhai..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Gender equality haina technique za kusolve misunderstandings zinazotokea kwenye relationships as long as relationships zipo nyingi kuanzia family, business, works n others.. then huku juu wafundishwe ni namna gani wakontro emotions za mapenz.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mapenzi ni involuntary ni hatar sana hisia mbaya unaweza kuingia sehemu mbaya huwezi kujizuia
 
Aisee kumbe mwanamke aligawa njee wakati jamaa anampa kila kitu mpaka garii...!! Sema alichukua maamuzi magumu sanaa angeachana nae tuu mkuu.. Nimeona picha moja amepiga anapata kilajii..
Wewe@rick boy ukute na uzi wako wa kimasihara unachangia baadhi ya haya mauaji[emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi misemo ya wahenga tunashinda kuifuata mfano "fahari wawili hawawezi kukaa zizi moja" huo msema sio rahisi kugundua ila una maana Pana.

Nina maana gani watu walio level sawa hawawezi kukaa pamoja hta siku moja patakuwa na mtatizo ya hapa na pale tu!! Ndo at national level lazima pawe na kiongozi mmoja as the president mtu mweny mamlaka ya juu...katik level za wabunge wako level sawa si unaona wanavyobishana sometimes mpaka baadhi ya mabungu wanapigana kwamba wako level sawa.

Nakuja kweny mada huwezi kuoa mwanamke mko level sawa ya elimu akakusikliza au mna kipato kimoja ana kuchukulia easy .Dharau nyodo we asubuhi unaenda kazini na yeye anaenda hamna tofauti ni wachache wanaweza kumaintain heshima kwa wenza wao.
Ikiwa ni hivyo tafiti zifanywe na watu waziandike ili pawe na tafiti sahihi zitakazotoa mwanga kwa jamii ya kiume

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa ni hivyo tafiti zifanywe na watu waziandike ili pawe na tafiti sahihi zitakazotoa mwanga kwa jamii ya kiume

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Niamini mmi hili ndo Mauna hamna Chochote nimefanya tafiti ,palikuwa na poll kule twitter mdada mmoja aliweka ni hao feminist sababu kubwa ilikuwa ni usawa
 
Maadili yakazaniwe kwenye jamii,ukiangalia mauajia mengi,msingi wake ni uchepukaji.Tunaoa na wadada wanaolewa na watu ambao ufanyaji ngono umeanza kitambo,hivyo utuliaji wa wenza ndani ya nyumba,inakua shida.
Sasa hii ndio point yenyewe.
 
Maadili yakazaniwe kwenye jamii,ukiangalia mauajia mengi,msingi wake ni uchepukaji.Tunaoa na wadada wanaolewa na watu ambao ufanyaji ngono umeanza kitambo,hivyo utuliaji wa wenza ndani ya nyumba,inakua shida.
Nimekuelewa sana mkuu ila jamii inabadilishwa sana teknology na interactions leo anakutana mchagga na Mhaya wanaoana makabila mawili tofaut pengine hata dini ni tofaut huo msingi wa maadili tunaupata wapi? Unampenda demu unafosi aishi kwenye code na conduct zako na yeye hajalelewa hivyo ila mmeelewana baadae anarud kwenye nature yake unaanza kumpiga..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wewe imagine mke anakucheat wakati unampiga mashine vizuri anakojoa ,mnakula na kunywa wote huku mnacheka ,mna watoto wazuri pamoja ,umempaa gari la kumsaidia mizunguko yake ,umewahi kumsamehe makosa makubwa makubwa nk nk- yaani kwa kifupi she cheated you at the best moment of your life.

RIP my friend Cosma

Pole kwa kumpoteza rafiki yako.
RIP Cosma.
 
Back
Top Bottom