Mauaji yanayoongezeka yatokanayo na wivu wa mapenzi nini kifanyike?

Mauaji yanayoongezeka yatokanayo na wivu wa mapenzi nini kifanyike?

Nadhani Huwa akili zinakuwa zimeharibika kwa muda huo- Every Brain Ina threshold of breaking point no matter how strong it is.

Cha muhimu ni kuwa karibu kisaikolojia na ndugu ,jamaa na marafiki zetu tunapoona wametingwa na matatizo.
Hio nayo ni point japo kuna wale hawatakuambia utashangaa taarifa tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mtu akishaingia CCM tu anakuwa mjinga. Fikiria Dr mzima badala ya kuangalia root causes of the problem, yeye anaminya uhuru wa habari. Akili yake imeishia hapo.
Tatizo kubwa sasa hivi ni wanawake kujifanya wanaweza, hivyo kukosa heshima na maadili. Mwisho wa siku wanazimwa kama taa. They get what they deserve
 
Yani ametoa point ya kijinga had unahsi hio PhD ni ya mchongo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa niko nae hapa job nimemuuliza maoni yake kuhusu hii mada
Amesema kwamba ukigundua mtu wako anakusaliti muonye,akiendelea muue

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Kuna taasisi nyingi za kuwatetea wanawake kuliko kuwarekebisha tabia zao yaani jamii inawalinda sana wanawake na wao wanafanya maksudi kwasababu wanalijua hilo akipotea mwanamke imepotea jamii wanawake wanatakiwa warudi kwenye mstari
 
Wewe imagine mke anakucheat wakati unampiga mashine vizuri anakojoa ,mnakula na kunywa wote huku mnacheka ,mna watoto wazuri pamoja ,umempaa gari la kumsaidia mizunguko yake ,umewahi kumsamehe makosa makubwa makubwa nk nk- yaani kwa kifupi she cheated you at the best moment of your life.

RIP my friend Cosma
Halafu wanawake wengi wakishaolewa na wanaume wenye uwezo wa kifedha wanaenda kuroga ili wapate mambo kama hayo yaani kila atakachosema asikilizwe matokeo yake unajikuta unahonga gari na nyumba kama said wa mwanza halafu demu anaanza jeuri hapo ndo tatizo linaanzia ila sidhani kama wote wanaofanya hvyo ni kweli walidhamiria

Wanawake acheni ulozi.
 
Kuna taasisi nyingi za kuwatetea wanawake kuliko kuwarekebisha tabia zao yaani jamii inawalinda sana wanawake na wao wanafanya maksudi kwasababu wanalijua hilo akipotea mwanamke imepotea jamii wanawake wanatakiwa warudi kwenye mstari
Off course boss.. Tunajitahid sana kuwafundisha uimara wabeijing ila ubaya ni kwamba hawaishi peke yao wanakuja kuolewa na mwanaume ambae amefundishwa kuishi kiume ..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Halafu wanawake wengi wakishaolewa na wanaume wenye uwezo wa kifedha wanaenda kuroga ili wapate mambo kama hayo yaani kila atakachosema asikilizwe matokeo yake unajikuta unahonga gari na nyumba kama said wa mwanza halafu demu anaanza jeuri hapo ndo tatizo linaanzia ila sidhani kama wote wanaofanya hvyo ni kweli walidhamiria

Wanawake acheni ulozi.
Uchungu na hasira vinaanza pale unapogundua umemhumia vizur sana mtu ambae haoni thaman yako.. tena pale ulipomfikisha anatumia kama fimbo ya kukudharaulia tena kwa watu wa kawaida tu... imagine kama yule jamaa wa Mwanza anakesha ziwani demu yupo na kina H-baba eti anawapaka make up na mwanaume unachezea maji ucku na mchana..
Inatia hasira sana... mimi hua sioni sababu ya kuwasaidia hawa viumbe kama huna uhakika nao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom