Mauaji yazidi kutikisa nchini; Maiti tatu za wanawake zaokotwa kando ya mto jijini Mwanza

Wenzetu wanauliwa, bado mnajadili siasa tu?
Kwa akili yako unadhani Nani anachafua utawala fulani kwa kuua watu hivyo , wakati wa JPM hiyo akili ya kuchafua utawala uliiweka nchi gani

Haya matukio lazima tuyalaani sote tusianze kubebesha mizigo watu fulani kijingajinga na kusambaza chuki
 
Naogopa asije akapiga marufuku kuripori matukio ya mauaji kama jiwe lilivyozuia kuripoti genocide iliyofanyika Kibiti.
Kwahyo ulitaka Alshababi wastahimili hapa Tz ? au na ww ni mmoja wao? siasa ndo zinateketeza mataifa ya kiafrika , hatujui kutofautisha sehemu zinazotuhitaji tuwe kitu kimoja na sehemu zinazohitaji upinzanz , shithole countries
 
Kwa akili yako unadhani Nani anachafua utawala fulani kwa kuua watu hivyo , wakati wa JPM hiyo akili ya kuchafua utawala uliiweka nchi gani

Haya matukio lazima tuyalaani sote tusianze kubebesha mizigo watu fulani kijingajinga na kusambaza chuki
Kwasasa ndo mnayajua hayo ? ila kumbebesha lawama JPM ilikuwa haki ?
 
Nguvu Ya Taifa Tunapoteza.

Pole Sana Kwa Ndugu Na Jamaa Wote Waliofikwa Na Msiba.
 
Si mlidai Magufuli ndo alikuwa anawaua!!
Amefufuka?
Lile jitu bishi linaweza kufufuka tu nakuendeleza mauaji ya kikatili kwa watanzania wasio na hatia. Tuweni tu vigilant likikuibukia kwenye anga zako unaliwahi faster na kulirudisha kuzimu huku ukijiaandaa na mikakati ya kudumu kulizuia lisiibuke tena mazima.
 
Ohoo ,haya mauaji ya kimapenzi yatamaliza watu ukichanganya na ukichaa wa watu Hali itakuwa ndivyo sivyo.

Serikali iajiri wanasaikolojia haraka Sana.Hata hivyo mauaji yalikuwepo miaka mingi sema utandawazi nao unachangia taarifa kufika haraka Sana.

kwa akili yako mauji ya watu watatu tukio moja bado nmunadhan n mapenzi?? au n akil yako ndogo
 
Naogopa asije akapiga marufuku kuripori matukio ya mauaji kama jiwe lilivyozuia kuripoti genocide iliyofanyika Kibiti.

Naona umechukia ugaidi kuisha kibiti ulitaman yanayotokea msumbiji iwe ndo tanzania

unalaana ww!! Na siku hao magaidi waguse familia yako ndo utaelewa
 
Songea nayo kuna mwanadada kunyongwa tena wa miaka 17 na mamlaka zimekaa kimya kama hakuna kilichotokea
Mkuu alaf nilisikia uyo mdada kanyongwa gesti ipo matarawe songea,,, kama una taarifa kamili tuandikie uzi Mkuu
 
Lile jitu bishi linaweza kufufuka tu nakuendeleza mauaji ya kikatili kwa watanzania wasio na hatia. Tuweni tu vigilant likikuibukia kwenye anga zako unaliwahi faster na kulirudisha kuzimu huku ukijiaandaa na mikakati ya kudumu kulizuia lisiibuke tena mazima.
Ny..ko una akili ndogo Sana na hujui usemalo pole
 
Kwa taarifa yako kipindi kile mauaji yalikuwa mengi, lakini taarifa ilikuwa seriously contained. Sasa hivi kwa sababu ya freedom of speed and infos sharing ndo maana haya mambo yana attend

Tupostie izo taarifa!!
maana ujue kutofautisha wahaini na raia

sasa ao wanawake n wanauhaini gan
 
Lile jitu bishi linaweza kufufuka tu nakuendeleza mauaji ya kikatili kwa watanzania wasio na hatia. Tuweni tu vigilant likikuibukia kwenye anga zako unaliwahi faster na kulirudisha kuzimu huku ukijiaandaa na mikakati ya kudumu kulizuia lisiibuke tena mazima.

Naona unajisahau sana unadhan kua utaishi milele!!
siku zako nazo zinahesabika kaka
 
Mkuu alaf nilisikia uyo mdada kanyongwa gesti ipo matarawe songea,,, kama una taarifa kamili tuandikie uzi Mkuu
Umeshaandikwa upo utafute huyo bint ni huyu
guest.jpg
 
Back
Top Bottom