Mauji beach ya Ununio na yale ya Dodoma yanatuma ujumbe gani kwa uongozi?

Mauji beach ya Ununio na yale ya Dodoma yanatuma ujumbe gani kwa uongozi?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
IMG_3997.jpeg
Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu.

Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi iko shwari hii ni ajabu sana. Na kiongozi nae anawaunga mkono kua nchi iko shwari kabisa kulingana na takwimu za nyuma haya ni maajabu!!!

Kama viongozi wasipochukua hatua hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
 
Amani Kwa Sasa imetoweka.rais atangaze Hali ya hatari.kila siku watu wanauawa
 
Back
Top Bottom