Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu.
Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi iko shwari hii ni ajabu sana. Na kiongozi nae anawaunga mkono kua nchi iko shwari kabisa kulingana na takwimu za nyuma haya ni maajabu!!!
Kama viongozi wasipochukua hatua hali inazidi kuwa mbaya zaidi.