Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

Hizi taarifa za mwanzo kabisa. Taarifa zaidi zinafuata
Umewahi kuleta Taarifa ila ukiwa huna 'details' za Kutosha. Hata hivyo sishangai kwani Umbea na Kukurupuka ndiyo Sifa Kuu ya 95% ya Watanzania.

Ni kweli amerejea EFM baada ya Kumaliza Mkataba wake Wasafi Media na hakutaka tena Kuendelea kubakia huko kutokana na Kutokuelewana na Mmoja wa 'Executives' wa Wasafi Media.

Kuhusu Mshahara huo ( huu ) wako tajwa hapa GENTAMYCINE nakupinga kuwa si wa kweli na nakuomba rudi kwa aliyekudanganya hivyo kisha mzabe ( mpige ) Kibao na mwambie Siku zingine asikudanganye tena sawa?

Kimaadili si vyema kutaja Mishahara ya Watu, ila ninachojua Maulid Kitenge hata kama karejea hapo Mshahara wake hautozidi Tsh Milioni Sita ( 6 ) na hata urejeo wake hapo umechagizwa na Urafiki wake wa muda mrefu na CEO Mwenyewe Majizo ( Mmliki wa EFM na TvE )

Kazi Maalum aliyotumwa WM kaimaliza.
 
na wale wakurugenzi waaolipwa mil45 kwa mwezi hapa hap Tanzania wasemeje.. mpaka meko akawaonea wivu
 
Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa hivyo kwa maandishi ya majizo instagram inaonesha maulidi alienda wasafi kwa kazi maalumu tu na ni hiyo kukuza kipindi cha michezo.
Jamaa ana angalia mzigo,Maulid ana brand kubwa anaipenda kazi yake, ila hanaga mapenzi na kampuni yako anayoifanyia kazi, kama hujafika dau anaenda kwa anayepanda dau, hii ni biashara.Kevin Twisa kahama hama kampuni nyingi za Telcom,sababu kila kampuni inampandia dau, ktk dunia hii ukiwa vizuri kwenye kazi yako then thamani yako inakuwa kubwa.
 
Umewahi kuleta Taarifa ila ukiwa huna 'details' za Kutosha. Hata hivyo sishangai kwani Umbea na Kukurupuka ndiyo Sifa Kuu ya 95% ya Watanzania.

Ni kweli amerejea EFM baada ya Kumaliza Mkataba wake Wasafi Media na hakutaka tena Kuendelea kubakia huko kutokana na Kutokuelewana na Mmoja wa 'Executives' wa Wasafi Media.

Kuhusu Mshahara huo ( huu ) wako tajwa hapa GENTAMYCINE nakupinga kuwa si wa kweli na nakuomba rudi kwa aliyekudanganya hivyo kisha mzabe ( mpige ) Kibao na mwambie Siku zingine asikudanganye tena sawa?

Kimaadili si vyema kutaja Mishahara ya Watu, ila ninachojua Maulid Kitenge hata kama karejea hapo Mshahara wake hautozidi Tsh Milioni Sita ( 6 ) na hata urejeo wake hapo umechagizwa na Urafiki wake wa muda mrefu na CEO Mwenyewe Majizo ( Mmliki wa EFM na TvE )

Kazi Maalum aliyotumwa WM kaimaliza.
Hiyo M15 anafikiri ni mchezo! Wanazalisha nini hapo?
 
Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa hivyo kwa maandishi ya majizo instagram inaonesha maulidi alienda wasafi kwa kazi maalumu tu na ni hiyo kukuza kipindi cha michezo.
Hapa ndio nimeamini mabosi wa izi redio hawana bifu ila fans ndio tunataka mpaka kutoana roho
 
Jamaa ana angalia mzihlgo,Maulid ana brand kubwa anaipenda kazi yake, ila hanaga mapenzi na kampuni yako anayoifanyia kazi, kama hujafika dau anaenda kwa anayepanda dau, hii ni biashara.Kevin Twisa kahama hama kampuni nyingi za Telcom,sababu kila kampuni inampandia dau, ktk dunia hii ukiwa vizuri kwenye kazi yako then thamani yako inakuwa kubwa.
"ktk dunia hii ukiwa vizuri kwenye kazi yako then thamani yako inakuwa kubwa"

Nakubaliana nawe 100%
 
Jamaa anamaanisha wasafi kuna karaha?

1628233125335.png
 
Efm Jogging club ilikufa alivyoondoka....anaenda kuifufua rasmi🤣
Haikufa bali mwanzilishi alihama nayo. Ngoja tuone kama itaendelea kule wasafi au itakuwa ndio mwisho wake kama ilivyokuwa kwa EFM
 
Back
Top Bottom