Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Ila tuache masihara jamani Kuna watu wanaishi Duniani Kama peponi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maulidi ni overrated Sana.Battle of the Giants! Watu wanapanda madau tu
Hizi taarifa za mwanzo kabisa. Taarifa zaidi zinafuata
Alikuwa wapi kabla?Hizi taarifa za mwanzo kabisa. Taarifa zaidi zinafuata
Wacha wapande tuBattle of the Giants! Watu wanapanda madau tu
Umewahi kuleta Taarifa ila ukiwa huna 'details' za Kutosha. Hata hivyo sishangai kwani Umbea na Kukurupuka ndiyo Sifa Kuu ya 95% ya Watanzania.Hizi taarifa za mwanzo kabisa. Taarifa zaidi zinafuata
Jamaa ana angalia mzigo,Maulid ana brand kubwa anaipenda kazi yake, ila hanaga mapenzi na kampuni yako anayoifanyia kazi, kama hujafika dau anaenda kwa anayepanda dau, hii ni biashara.Kevin Twisa kahama hama kampuni nyingi za Telcom,sababu kila kampuni inampandia dau, ktk dunia hii ukiwa vizuri kwenye kazi yako then thamani yako inakuwa kubwa.Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa hivyo kwa maandishi ya majizo instagram inaonesha maulidi alienda wasafi kwa kazi maalumu tu na ni hiyo kukuza kipindi cha michezo.
Hiyo M15 anafikiri ni mchezo! Wanazalisha nini hapo?Umewahi kuleta Taarifa ila ukiwa huna 'details' za Kutosha. Hata hivyo sishangai kwani Umbea na Kukurupuka ndiyo Sifa Kuu ya 95% ya Watanzania.
Ni kweli amerejea EFM baada ya Kumaliza Mkataba wake Wasafi Media na hakutaka tena Kuendelea kubakia huko kutokana na Kutokuelewana na Mmoja wa 'Executives' wa Wasafi Media.
Kuhusu Mshahara huo ( huu ) wako tajwa hapa GENTAMYCINE nakupinga kuwa si wa kweli na nakuomba rudi kwa aliyekudanganya hivyo kisha mzabe ( mpige ) Kibao na mwambie Siku zingine asikudanganye tena sawa?
Kimaadili si vyema kutaja Mishahara ya Watu, ila ninachojua Maulid Kitenge hata kama karejea hapo Mshahara wake hautozidi Tsh Milioni Sita ( 6 ) na hata urejeo wake hapo umechagizwa na Urafiki wake wa muda mrefu na CEO Mwenyewe Majizo ( Mmliki wa EFM na TvE )
Kazi Maalum aliyotumwa WM kaimaliza.
Umalaya siyo kuuza mbunye tu. QED.Hizi taarifa za mwanzo kabisa. Taarifa zaidi zinafuata
Hapa ndio nimeamini mabosi wa izi redio hawana bifu ila fans ndio tunataka mpaka kutoana rohoKuna uwezekano mkubwa ilikuwa hivyo kwa maandishi ya majizo instagram inaonesha maulidi alienda wasafi kwa kazi maalumu tu na ni hiyo kukuza kipindi cha michezo.
Si rahisi ki hivyo, labda 4 to 5m.Hiyo M15 anafikiri ni mchezo! Wanazalisha nini hapo?
"ktk dunia hii ukiwa vizuri kwenye kazi yako then thamani yako inakuwa kubwa"Jamaa ana angalia mzihlgo,Maulid ana brand kubwa anaipenda kazi yake, ila hanaga mapenzi na kampuni yako anayoifanyia kazi, kama hujafika dau anaenda kwa anayepanda dau, hii ni biashara.Kevin Twisa kahama hama kampuni nyingi za Telcom,sababu kila kampuni inampandia dau, ktk dunia hii ukiwa vizuri kwenye kazi yako then thamani yako inakuwa kubwa.
Efm Jogging club ilikufa alivyoondoka....anaenda kuifufua rasmi🤣Kwa hiyo jamaa anahama na jogging club na kipindi chake cha chumvi?
Haikufa bali mwanzilishi alihama nayo. Ngoja tuone kama itaendelea kule wasafi au itakuwa ndio mwisho wake kama ilivyokuwa kwa EFMEfm Jogging club ilikufa alivyoondoka....anaenda kuifufua rasmi🤣
nashangaa huu mshahara wa kamishina TRAMilioni 15 ya maandishi [emoji3][emoji3].