Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Masai lazma waondoke Ngorongoro hata mkipiga propaganda gani. Ndio hivo fullstop.
 
Ngorongoro hakuna game reserve ya uwindaji wewe, acha bangi, Obc wako Loliondo. achana na vi NGO uchwara kama PINGO FORUM, wasiotaka wamasai waondoke ili waendelee kupata ufadhili kwa wahisani wao
Wewe naona umekula ugoro, kwani Loliondo ipo wapi? Tandale au?
 
Wewe wauaji hao umewaona wapi au hiyo mikataba umeiona wapi zaidi ya speculation za mtandaoni? Huo mkataba umesainiwa lini na nani? Acha uzuzu
Kwani hao OBC unapoambiwa ni kamouni ya uwindaji wa kujiburudisha na walishapewa eneo la Loliondo na mwinyi mwaka 1992 , ni kipi usichoelewa sasa? Na awamu hii ya dini ile kama ilivyokuwa awamu ya nne ya dini hiyo hiyo ya waarabu, wanataka kuongezewa eneo ka kufanya mauaji ya kujiburudisha (game hunting), hebu legeza ubongo basi.
 
Wameshajua ni mteremko tena. Ni jamii ya walewale waliouza Loliondo. Hivyo hakuna kitakachoshindikana. Nina hasira.
#Kulaurefuwakambayako
#kulausivimbiwe.
 
Aisee...sasa mbona idara za usalama wa nchi zimekaaa kaa tu bila kutetea maslahi ya nchi?

au wanatetea maslahi ya nani?..
Kesi ya mbuzi kumpelekea fisi
 
Wapi umeona wamesaini mkataba wa kuongezewa eneo? Hivi unajua eneo la jirani na hao OBC kuna makampuni mengine wamepewaga, na watu wamejenga camps za kudumu. Kampuni kama Thomson Safari na And Beyond.. Usiwe kama kasuku kukariri vitu vya kijinga. Mtu mwenyewe hata Loliondo hujafika, unaleta kujua wakati hujui. Loliondo ya mwaka 1992 sio ya leo. Acha ujinga. Acha upambe wa kukuza maneno ya mtandaoni. Utakuja kuolewa 🚮🚮🚮
 

Mwingine huyo kala pesa
 
Daah, kweli kelele zote zile za kufukiza wamasai kumbe lengo ni kuuza vitalu waarabu waue wanayama, kweli hii nchi hatuoneani huruma kabisa!
 
Nchi hii ni ngumu mnoo, watu ni wabinafsi, hawafanyi jambo kwa manufaa ya taifa ila kwa matumbo yao binafsi.
 
Nchi hii ni ngumu mnoo, watu ni wabinafsi, hawafanyi jambo kwa manufaa ya taifa ila kwa matumbo yao binafsi.
 
Mambo ya aibu sana haya, kweli tunawafukuza waTanzania wenzetu ili kuwapa waarabu waje kuua Simba na Tembo kweli?!
 
Inasikitisha sana jinsi wamasai wanavyonyanyaswa ndani ya nchi yao ili tu mwarabu aje kuua Simba na tembo
 
Maulid Kitenge ni sawa tu na Steve Nyerere, yaani ni mambumbumbu/washamba wa kutaka kujulikana kwa ulazima.
 
Maulid Kitenge ni sawa tu na Steve Nyerere, yaani ni mambumbumbu/washamba wa kutaka kujulikana kwa ulazima.
Inashangaza sana mtu bila huruma unapokea pesa ili uende kusambaza propaganda za kuwafukuza waTz wenzako kwenye ardhi yao ya asili ili waarabu waje kuua Simba na Tembo, hawa ndio walikuwa wanauza wenzao utumwani kwa waarabu sababu ya vipande vya fedha, shenzy kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…