Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Zipo busy kuwanyamazisha CHADEMA wasiwapinge CCM [emoji1]Aisee...sasa mbona idara za usalama wa nchi zimekaaa kaa tu bila kutetea maslahi ya nchi?
au wanatetea maslahi ya nani?..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo busy kuwanyamazisha CHADEMA wasiwapinge CCM [emoji1]Aisee...sasa mbona idara za usalama wa nchi zimekaaa kaa tu bila kutetea maslahi ya nchi?
au wanatetea maslahi ya nani?..
Wewe naona umekula ugoro, kwani Loliondo ipo wapi? Tandale au?Ngorongoro hakuna game reserve ya uwindaji wewe, acha bangi, Obc wako Loliondo. achana na vi NGO uchwara kama PINGO FORUM, wasiotaka wamasai waondoke ili waendelee kupata ufadhili kwa wahisani wao
Kwani hao OBC unapoambiwa ni kamouni ya uwindaji wa kujiburudisha na walishapewa eneo la Loliondo na mwinyi mwaka 1992 , ni kipi usichoelewa sasa? Na awamu hii ya dini ile kama ilivyokuwa awamu ya nne ya dini hiyo hiyo ya waarabu, wanataka kuongezewa eneo ka kufanya mauaji ya kujiburudisha (game hunting), hebu legeza ubongo basi.Wewe wauaji hao umewaona wapi au hiyo mikataba umeiona wapi zaidi ya speculation za mtandaoni? Huo mkataba umesainiwa lini na nani? Acha uzuzu
Toa hoja, bila kutoa hoja unaonekana chizi tu.Masai lazma waondoke Ngorongoro hata mkipiga propaganda gani. Ndio hivo fullstop.
Wameshajua ni mteremko tena. Ni jamii ya walewale waliouza Loliondo. Hivyo hakuna kitakachoshindikana. Nina hasira.Walipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.
LEO WAMERUDI TENA
Kesi ya mbuzi kumpelekea fisiAisee...sasa mbona idara za usalama wa nchi zimekaaa kaa tu bila kutetea maslahi ya nchi?
au wanatetea maslahi ya nani?..
Wapi umeona wamesaini mkataba wa kuongezewa eneo? Hivi unajua eneo la jirani na hao OBC kuna makampuni mengine wamepewaga, na watu wamejenga camps za kudumu. Kampuni kama Thomson Safari na And Beyond.. Usiwe kama kasuku kukariri vitu vya kijinga. Mtu mwenyewe hata Loliondo hujafika, unaleta kujua wakati hujui. Loliondo ya mwaka 1992 sio ya leo. Acha ujinga. Acha upambe wa kukuza maneno ya mtandaoni. Utakuja kuolewa 🚮🚮🚮Kwani hao OBC unapoambiwa ni kamouni ya uwindaji wa kujiburudisha na walishapewa eneo la Loliondo na mwinyi mwaka 1992 , ni kipi usichoelewa sasa? Na awamu hii ya dini ile kama ilivyokuwa awamu ya nne ya dini hiyo hiyo ya waarabu, wanataka kuongezewa eneo ka kufanya mauaji ya kujiburudisha (game hunting), hebu legeza ubongo basi.
Wabunge wepi?I see. Kumbe na Mimi nilipiga kelele bila kujua mambo kiundani.
Vipi wabunge wanaelewa wanachopigania?
Nchi hii ni ngumu mnoo, watu ni wabinafsi, hawafanyi jambo kwa manufaa ya taifa ila kwa matumbo yao binafsi.
Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia.
Vita hii ya kuwaondoa wamasai ilikuwa spear headed na nguli wa habari za michezo ndugu MAULID KITENGE ambapo alifanya ziara huko Ngorongoro na kutuambia WaTz kwamba eti ‘HALI INATISHA HUKO NGORONGORO’.
Wengi wetu tulihisi kuna jambo nyuma ya pazia, kwamba ghafla tu mtu wa michezo anaenda kushikia bango jambo lisilo la kimichezo; kiasi tulipata hisia kwamba amaelipwa pesa ili kueneza propaganda kwa maslahi ya waliomtuma.
Haya sasa, imekuja kugundulika kwamba hilo eneo la Ngorongoro anataka kuuziwa kampuni ya uwekezaji toka Falme za kiarabu inayomilikiwa na ‘Royal family’ kwa ajili ya kuendesha uwindaji wa kujifurahisha (game hunting), kampuni hiyo inaitwa OBC.
Sasa namuuliza ndugu yangu Kitenge, HUONI AIBU kuwasaliti WaTanzania wenzako?!
Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands
By Laurel Sutherland on 18 February 2022 - In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...www.jamiiforums.com
================================
Update: 22/03/2022
Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.www.jamiiforums.com
=================================
Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...www.jamiiforums.com
==================================
Video mbali mbali za miaka ya nyuma (10+ years) zinazohusu kuwaondoa wamasai ili kuwapa waarabu vipande vya ardhi ya Ngorongoro vilihusisha ukiukwaji wa haki za binadamu
=============================
“Mtanikumbuka....” By JPM.
==================================
Update: 22/03/2022
Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.www.jamiiforums.com
Inashangaza sana mtu bila huruma unapokea pesa ili uende kusambaza propaganda za kuwafukuza waTz wenzako kwenye ardhi yao ya asili ili waarabu waje kuua Simba na Tembo, hawa ndio walikuwa wanauza wenzao utumwani kwa waarabu sababu ya vipande vya fedha, shenzy kabisaMaulid Kitenge ni sawa tu na Steve Nyerere, yaani ni mambumbumbu/washamba wa kutaka kujulikana kwa ulazima.