Rudia nilichoandika kusoma; Kuna sehemu nimesema mwarabu au mtutu yoyote apewe ?; Mimi sio mtu wa Brazil lakini nikiona Amazon Forests zinachomwa moto nitapiga kelele (Dunia ni Moja)
Huyu bwana Huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka ,akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu. Je Serikali haioni ni wakati muafaka Sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam...
Mimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu. Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika...
Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga. https://www.youtube.com/live/tgDq_QmfwgI?si=7y6tlTVhDddXkqWX Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha...
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000 Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna...
Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia.
Vita hii ya kuwaondoa wamasai ilikuwa spear headed na nguli wa habari za michezo ndugu MAULID KITENGE ambapo alifanya ziara huko Ngorongoro na kutuambia WaTz kwamba eti ‘HALI INATISHA HUKO NGORONGORO’.
Wengi wetu tulihisi kuna jambo nyuma ya pazia, kwamba ghafla tu mtu wa michezo anaenda kushikia bango jambo lisilo la kimichezo; kiasi tulipata hisia kwamba amaelipwa pesa ili kueneza propaganda kwa maslahi ya waliomtuma.
Haya sasa, imekuja kugundulika kwamba hilo eneo la Ngorongoro anataka kuuziwa kampuni ya uwekezaji toka Falme za kiarabu inayomilikiwa na ‘Royal family’ kwa ajili ya kuendesha uwindaji wa kujifurahisha (game hunting), kampuni hiyo inaitwa OBC.
Sasa namuuliza ndugu yangu Kitenge, HUONI AIBU kuwasaliti WaTanzania wenzako?!
By Laurel Sutherland on 18 February 2022 - In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
www.jamiiforums.com
==================================
Video mbali mbali za miaka ya nyuma (10+ years) zinazohusu kuwaondoa wamasai ili kuwapa waarabu vipande vya ardhi ya Ngorongoro vilihusisha ukiukwaji wa haki za binadamu
=============================
“Mtanikumbuka....” By JPM.
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December! Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225 Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi...
Wakuu, Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako...
° Nimekuwa nikijiuliza, Masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya? ° Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro? ° Tuweke siasa pembeni, twende na usalama wa urithi Wetu kwanza! ° Je, baada ya miaka 20 tutakuwa na ngorongoro yetu? -TUTAFAKARI...
° Nimekuwa nikijiuliza, Masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya? ° Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro? ° Tuweke siasa pembeni, twende na usalama wa urithi Wetu kwanza! ° Je, baada ya miaka 20 tutakuwa na ngorongoro yetu? -TUTAFAKARI...
kwa ivo,BUKOBA wote wamejaa wahaya kutoka TANZANIA tu!!!,MBEYA yote wamejaa wanyakyusa kutoka TANZANIA tu!!,KILIMANJARO yote wamejaa WACHAGA na WAPARE kutoka TANZANIA tu!!,na KIGOMA yote wamejaa WAHA kutoka TANZANIA tu???????????????????...."acha kuandika USHUZI WEWE",,,,,,,,,,,,,wewe KENDE nini?
Mimi njilipoona huyu jamaa ndiyo nayepigia debe hili jambo nilijua kuna namna. Nasikia yeye na Meena ndiyo wanagawa fedha ili waandishi uchwara wawaunge mkono.
Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia hazikujaribu kuwaondoa. Cha kushangaza awamu hii wanajaribu kwa kila mbinu na hali kuhakikisha kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.