Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Wewe ukiwa miongoni mwa walimwengu(kutoka afrika) unaweza faidika na rasilimali zilizoko arabuni hata kama unaitwa Abdulratif?
Rudia nilichoandika kusoma; Kuna sehemu nimesema mwarabu au mtutu yoyote apewe ?; Mimi sio mtu wa Brazil lakini nikiona Amazon Forests zinachomwa moto nitapiga kelele (Dunia ni Moja)
 
6AD3250D-64A1-45C8-812F-8D575B827323.jpeg
 
 
 
 
View attachment 2746635
===========================

View attachment 2664175

View attachment 2666692

Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia.

Vita hii ya kuwaondoa wamasai ilikuwa spear headed na nguli wa habari za michezo ndugu MAULID KITENGE ambapo alifanya ziara huko Ngorongoro na kutuambia WaTz kwamba eti ‘HALI INATISHA HUKO NGORONGORO’.

Wengi wetu tulihisi kuna jambo nyuma ya pazia, kwamba ghafla tu mtu wa michezo anaenda kushikia bango jambo lisilo la kimichezo; kiasi tulipata hisia kwamba amaelipwa pesa ili kueneza propaganda kwa maslahi ya waliomtuma.

Haya sasa, imekuja kugundulika kwamba hilo eneo la Ngorongoro anataka kuuziwa kampuni ya uwekezaji toka Falme za kiarabu inayomilikiwa na ‘Royal family’ kwa ajili ya kuendesha uwindaji wa kujifurahisha (game hunting), kampuni hiyo inaitwa OBC.

Sasa namuuliza ndugu yangu Kitenge, HUONI AIBU kuwasaliti WaTanzania wenzako?!


================================
Update: 22/03/2022


=================================

==================================
Video mbali mbali za miaka ya nyuma (10+ years) zinazohusu kuwaondoa wamasai ili kuwapa waarabu vipande vya ardhi ya Ngorongoro vilihusisha ukiukwaji wa haki za binadamu

=============================
“Mtanikumbuka....” By JPM.



==================================
Update: 22/03/2022

==========================
Update: 29/12/2022



===========================

m2 mwenyewe anaitwa KITENGE!! unategemea nini?
 
 
k
kwa ivo,BUKOBA wote wamejaa wahaya kutoka TANZANIA tu!!!,MBEYA yote wamejaa wanyakyusa kutoka TANZANIA tu!!,KILIMANJARO yote wamejaa WACHAGA na WAPARE kutoka TANZANIA tu!!,na KIGOMA yote wamejaa WAHA kutoka TANZANIA tu???????????????????...."acha kuandika USHUZI WEWE",,,,,,,,,,,,,wewe KENDE nini?
 
Mimi njilipoona huyu jamaa ndiyo nayepigia debe hili jambo nilijua kuna namna. Nasikia yeye na Meena ndiyo wanagawa fedha ili waandishi uchwara wawaunge mkono.
Basi ni wenyewe.Wameandaamhuo mchongo huko majuu sababu wanaenda sana
 
Back
Top Bottom