FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #261
Daah, kweli hii zamu ya waarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usikute ujira ni tende na kanzu... black people!!.
Kahaba tu huyo !! Kunguru !!Shoga mzoefu huyo
kuna umuhimu mkubwa sana kuwasapoti wamasai, nahisi kuna maumivu makali sana wanayapitia. ajabu yake, bado wanapigia kura ccm pamoja na machungu yote haya.Inasikitisha sana, waMasai nao ni watu. Hivi leo mtu aje hapa Dar es salaam asema watu wote tuhame tuhamie Dodoma, hapana tuna haribu mazingira.., mtajisikiaje?
Shida ni wizi wa kura...kuna umuhimu mkubwa sana kuwasapoti wamasai, nahisi kuna maumivu makali sana wanayapitia. ajabu yake, bado wanapigia kura ccm pamoja na machungu yote haya.
Wewe ukiwa miongoni mwa walimwengu(kutoka afrika) unaweza faidika na rasilimali zilizoko arabuni hata kama unaitwa Abdulratif?Doesn't the end Justify the Means
Hata kama kitenge ni Msaliti Je kinachosemwa hakina ukweli ?
Mimi kama Mtanzania na Mwanamazingira nasema wamasai wasibaki huko na hao wanaotaka kujifurahisha wasipewe eneo, eneo libaki kwa manufaa ya Watanzania wote na walimwengu wote sio individuals (be it Wamasai au so called Royal Family)