FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #141
Apumzike kwa amani Stanley KatabaloRIP Stan Katabalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike kwa amani Stanley KatabaloRIP Stan Katabalo
I have a piece of advice to you old man "Acha kuishi hivyo" ni utashi wa kipumbavu sana.Basi ni haki yako kuuliza... Ila kwa umri huo najua utanzisha LIGI tu.. Nakuacha... By the way, la Loliondo kuuzwa lilikuja pamoja na Zanzibar kujiunga na OIC, hili unalijua?
game reserve ni vitalu vya uwindaji ndugu,..wako watu wengi wana vitalu vya uwindaji,sio hao waarabu tuWewe ndio hujui chochote rudia kusoma vizuri na dictionary,kwa kifupi loliondo ilishapigwa mnada tangu enzi za mwinyi OBC inawinda wanyama na kusafirisha walio hai U.A.E kila wanapojisikia mwaka huu wameongezewa km 1500 kwa upande wa loliondo na akapewa na discount price kuchukua ngorongoro kwa hiyo maskini wapishe wenye pesa zao huu ndio ukweli mchungu.
Nilishasema utaanza ligi.. na umeongeza lugha ya kuudhi... SiendeleiI have a piece of advice to you old man "Acha kuishi hivyo" ni utashi wa kipumbavu sana.
Hizo story za OIC na zinginezo ni siasa tu za mapoyoyo.
Ligi na mimi huwezi ila fanyia kazi ushauri wangu.
Asante sana Mkuuyule anaitwa abdala mwaipaya yuko mwanga sio uyo mwaipaya ni mtu safi clean hanunuliki
Ila wanaotaka kuchukua hilo eneo kwa kuwafukuza wenyeji ni akina nani wako nyuma?game reserve ni vitalu vya uwindaji ndugu,..wako watu wengi wana vitalu vya uwindaji,sio hao waarabu tu
Kuwaondoa wamasai ili kuwapa waarabu waje kuua Simba kwa kujiburudisha, nani anaharibu mazingira?Acheni propaganda za kijinga... Wamasai wamejaa Ngorongoro wana haribu mazingira. Nikuulize watu 120,000 wanatoa wapi kuni za kupikia ndani ya hifadhi miaka na miaka! Masai watoke!
Hizo ni story zako tu za propaganda..hakuna mahali popote mkataba wa kuwapa waarabu umesainiwa wala kuongelewa. Wajinga tu ndo watakuunga mkono. Mi nimekaa Loliondo na Ngorongoro...hayo maeneo ni urithi wa dunia. Masai wasijifanye kujimilikisha. It's time to go!Kuwaondoa wamasai ili kuwapa waarabu waje kuua Simba kwa kujiburudisha, nani anaharibu mazingira?
Wa upande wa pili Yule...Mwinyi huyo.
Kwenye utawala huu unaofanana na WAWalipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.
LEO WAMERUDI TENA
Mkuu maswali magumu hayo....huyo jamaa alikua Mzalendo wa kweli ila hawezi kusemwa kwa kuwa alishika taarifa za majambazi wanaoitafuna Nchi..Kwahiyo huyo Stanley Katabalo hajapatikana hadi leo?!
Waondoke ili tuwape waarabu waje kuua Simba kwa kujiburudisha? Hilo gazeti limetoa habari za kiuchunguzi, hao OBC wanataka kuongezewa eneo la kufanya mauaji ya Simba kwa kujiburudishaHizo ni story zako tu za propaganda..hakuna mahali popote mkataba wa kuwapa waarabu umesainiwa wala kuongelewa. Wajinga tu ndo watakuunga mkono. Mi nimekaa Loliondo na Ngorongoro...hayo maeneo ni urithi wa dunia. Masai wasijifanye kujimilikisha. It's time to go!
Wa upande ule hawana uchungu na Rasilimali za Tanganyika, ni kuuza nchi tu..Wa upande wa pili Yule...
Kwahiyo waondolowe ili kutunza mazingira au waondolowe ili waarabu wapate eneo la kuua Simba kwa kujiburudisha?Ni kweli kabisa kuwa ngorongoro kuna hali mbaya sana. Acheni siasa. Nilishakuta makundi ya mifugo ndani ya hifadhi niliumia sana. Pale crater view unakata kulia kama unakwenda Nainokanoka au kapenjiro au Nayobi au Burati kwa wenyeji wa huko. Nilisikitika sana. Yaani few meters after crater view mifugo kibao na makengerw na mbele kama mita 500 nikaona simba wanakimbia soo nadhani. Why? Waondoke tu maana ardhi tunayo ya kutosha.
Anza kulipuka juu ya Stanley Katabalo kwanza halafu ndio tuone kama tunaweza kulipuka, au humjui huyo mtu?Hapa kuna hoja kubwa na serikali iliishaanza mkakati na ndio maana wafugaji wameambiwa hivi;
Kwa wale watakahitaji kuhama kwa hiyari watapekwa sehemu sahihi na kwa gharama za serikali
Ila sasa ni ukweli ukisema watu/wamaasai waendelee kukaa kwenye hifadhi nchi itapoteza utaliii
So hapa muhimu ni waondoke ila tukisikia tuuu wamewekeza kampuni za uwindaji wa kujifurahisha nchi nzima tulipuke kwa kukemea kila upande ili kuonyesha hatujafurahishwa na hilo jambo wenzetu waumie waarabu wafurahi
Kwa hilo kamwe tusilikubali
Nani amesaini mikataba? Acheni propaganda zenu za kutetea Masai waharibu mazingira. Ngorongoro ni conservation, hakuna kitalu kitatoka pale. Loliondo ni corridor hakuna kitu kama hicho..mimi nipo kwenye utalii najua hizo ni propaganda zenu chafu tuWaondoke ili tuwape waarabu waje kuua Simba kwa kujiburudisha? Hilo gazeti limetoa habari za kiuchunguzi, hao OBC wanataka kuongezewa eneo la kufanya mauaji ya Simba kwa kujiburudisha