Maulid Kitenge: Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya, haiwezekani tukio litokee Korea na nyie mko huko lakini msilitolee Ufafanuzi!

Maulid Kitenge: Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya, haiwezekani tukio litokee Korea na nyie mko huko lakini msilitolee Ufafanuzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya.

Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu Msemaji wa Serikali mh Matinyi ndio aannze kuhangaika kwenye media kutolea ufafanuzi wakati Kazi hiyo ilipaswa kufanywa na Idara ya Mawasiliano Ikulu ambao Walikuwa Eneo la tukio nchini Korea.

Kitenge amesema hawa Watu Walikuwa hawamsaidii Mh Rais.

Source: Wasafi media (Good morning).

Pia soma Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?

Jumaa Mubarak 😃😃
 
Kitenge naye ni wa kuripoti rubbish zake. Failure at all levels in the formal schooling! Kanjanja wa habari. Huyu siyo mwandishi wa habari, ni kwa vile tanzania hakuna waandishi wa habari ukicha wachache kama Ngurumo, Jenerali Ulimwengu and few others.

Ndiyo maana nakwambia kuwa John una petty mind!
 
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya

Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu Msemaji wa Serikali mh Matinyi ndio aannze kuhangaika kwenye media kutolea ufafanuzi wakati Kazi hiyo ilipaswa kufanywa na Idara ya Mawasiliano Ikulu ambao Walikuwa Eneo la tukio nchini Korea

Kitenge amesema hawa Watu Walikuwa hawamsaidii mh Rais

Source: Wasafi media( Good morning)

Jumaa Mubarak 😃😃
Ni mnafiki, why hakusema kabla?
 
Kitenge naye ni wa kuripoti rubbish zake. Failure at all levels in the formal schooling! Kanjanja wa habari. Huyu siyo mwandishi wa habari, ni kwa vile tanzania hakuna waandishi wa habari ukicha wachache kama Ngurumo, Jenerali Ulimwengu and few others.
Ndiyo maana nakwambia kuwa John una petty mind!
Elimu ya Kitenge na Mbowe zinafana pamoja na Mwenyekiti Mpya Kanda ya Nyasa 😂🔥
 
Back
Top Bottom