Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
#prayfor Pascal Mayalla #
Mbona tunamwona humu JF tumbo linavyomsumbua kwa njaa ?? ulimi wote uko nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#prayfor Pascal Mayalla #
Hana uwezo hata English hajuiChawa anawinda nafasi iliyoachwa wazi
Nipo sana mkuuDah mkuu kumbe bado huko umepotea sana mkuu
Nipo sana mkuuDah mkuu kumbe bado huko umepotea sana mkuu
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema
Kweli naye Mayalla apewe akalambemo KIDOGO Koo lake limekaukaHiyo ni Nafasi ya Pascal Mayalla hadi baada ya Uchaguzi anastaafu kwa mujibu wa sheria 😄
😂🤣😁Chawa anawinda nafasi iliyoachwa wazi
Koo Limemkauka Sana, Njaa ItapunguaKweli naye Mayalla apewe akalambemo KIDOGO Koo lake limekauka
Hivi ni kwamba wakubwa huwa hawamwoni huyu msomi? Mbona anao ujuzi na uzoefu mwingi unaoweza kunufaisha nchi akipewa nafasi?Tuzidi kumuombea mkuu Pascal Mayalla 😄