Maulid Kitenge: Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya, haiwezekani tukio litokee Korea na nyie mko huko lakini msilitolee Ufafanuzi!

Maulid Kitenge: Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya, haiwezekani tukio litokee Korea na nyie mko huko lakini msilitolee Ufafanuzi!

Attachments

  • IMG-20220607-WA0000.jpg
    IMG-20220607-WA0000.jpg
    21.5 KB · Views: 5
Kwenye kichwa chake idara ya habari Ikulu ukiwa msemaji unaweza jiropokea tu hovyo kama alivyozoea.

Hakuna kitu ambacho Zuhura angeweza fanya kama hana details Kamili na pili kama coordinator anachotakiwa kuongea kiwe ndio mtazamo wa kila wizara.

Huko Korea wameenda mawaziri kadhaa kila mtu na lake; yeye angetoa maelezo gani kama director wa communication bila ya kupata report za wizara kwanza walichosaini nini.

Kinachotakiwa Ikulu ni organisation huyo Zuhura, na yule news reader mwingine kutoka BBC wote unqualified.

Director wa communication anatakiwa kuwa mtaalamu wa maswala ya public relation, Zuhura ana hiyo experience

Tatizo ni system ya mamlaka ya teuzi na kwenyewe kumejaa a bunch of people without HR qualification za kuelewa what skills are suitable for roles hasa ndani ya Ikulu.

Sio Zuhura tu inaonekana Ikulu kuna watu wengi tu kwenye technical roles who are unqualified ndio maana kuna chaos.

Jumlisha na ‘bi tozo’ mwenyewe kupenda kuteua watu anaowajua na wengine anapachikiwa she is not bothered kutaka kujua kwanini anaamisha watu au hao anaowateua ni hakina nani. Tunamlazimisha tu huyo mama hiyo nafasi ya uraisi ni kubwa sana kwake
 
Inawezekana huyu mama hakulisemea kwa sababu aliona ni kweli na msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Kwenye kichwa chake idara ya habari Ikulu ukiwa msemaji unaweza jiropokea tu hovyo kama alivyozoea.

Hakuna kitu ambacho Zuhura angeweza fanya kama hana details Kamili na pili kama coordinator anachotakiwa kuongea kiwe ndio mtazamo wa kila wizara.

Huko Korea wameenda mawaziri kadhaa kila mtu na lake; yeye angetoa maelezo gani kama director wa communication bila ya kupata report za wizara kwanza walichosaini nini.

Kinachotakiwa Ikulu ni organisation huyo Zuhura, na yule news reader mwingine kutoka BBC wote unqulakified.

Director wa communication anatakiwa mtaalamu wa maswala ya public relation Zuhura ana hiyo experience

Tatizo ni system ya mamlaka ya teuzi na kwenyewe kumejaa a bunch of people without HR qualification za kuelewa what skills are suitable for roles hasa ndani ya Ikulu.

Sio Zuhura tu inaonekana kuna Ikulu kuna watu wengi tu kwenye technical roles who are unqualified ndio maana ni chaos.

Jumlisha na ‘bi tozo’ mwenyewe kupenda kuteua watu anaowajua na wengine anapachikia she is not bothered kutaka kujua kwanini anaamisha watu au hao anaowateua ni hakina nani. Tunamlazimisha tu huyo mama hiyo nafasi ya uraisi ni kubwa sana kwake
Miaka ya 90s zuhura alikuwa yuko vizuri kwenye kuandaa man mancert yaliyokuwa yanafanyika poolside na kwenye majumba ya sinema 😄
Mara akapata shavu huko BBC mara huyoo tunasikia yuko ikulu 😄
Usishangae baba level manara mwijaku kitenge mmoja wao akapewa shavu huko 😄

Ova
 
Sema huyu dada nilikuwa napenda kiingereza chake, ni so amazing
 
Inasikitisha mwandishi wa habari Kitenge hajui majukumu ya kurungezi ya mawasiliano Ikulu na majukumu ya msemaji wa Serikali
Mimi nimeshajiridhisha huyu Kitenge ana uwezo mdogo wa kuchakata mambo.Kwenye kipindi cha michezo let say kuna mahojiano yeye mwanzo mwisho anaongea utani na kudakia wenzake kuongea..

Kama kuna mahojiano na mtu, wenzake wakianza maswali konki unamuona kaingia mitini au kupiga kimya.
 
Hiyo kazi ni ngumu, hujui ni nini kiwe wazi hujui ni nini usiseme, mwisho unaamua kuwa bubu ndipo yanapokukuta ya Zuhura
 
Back
Top Bottom