johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tuzidi kumuombea mkuu Pascal Mayalla πChawa anawinda nafasi iliyoachwa wazi
π€£Chawa anawinda nafasi iliyoachwa wazi
Watakuwa wamehamia Mlingotini πππ€£
Kitenge na Mwijaku wote washaanza kuwinda hiyo nafasi. Hapo bado Manara π€£
Ni mnafiki, why hakusema kabla?Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu Msemaji wa Serikali mh Matinyi ndio aannze kuhangaika kwenye media kutolea ufafanuzi wakati Kazi hiyo ilipaswa kufanywa na Idara ya Mawasiliano Ikulu ambao Walikuwa Eneo la tukio nchini Korea
Kitenge amesema hawa Watu Walikuwa hawamsaidii mh Rais
Source: Wasafi media( Good morning)
Jumaa Mubarak ππ
Elimu ya Kitenge na Mbowe zinafana pamoja na Mwenyekiti Mpya Kanda ya Nyasa ππ₯Kitenge naye ni wa kuripoti rubbish zake. Failure at all levels in the formal schooling! Kanjanja wa habari. Huyu siyo mwandishi wa habari, ni kwa vile tanzania hakuna waandishi wa habari ukicha wachache kama Ngurumo, Jenerali Ulimwengu and few others.
Ndiyo maana nakwambia kuwa John una petty mind!
Naona wamejianzishia Uzi eti ateuliwe propagandist na kwa uongozi wa wasasa lazima anaseπ€£
Kitenge na Mwijaku wote washaanza kuwinda hiyo nafasi. Hapo bado Manara π€£
Mpaka marehemu wanakula teuziMpiga mwingi kumteua marehemu nani anawajibishwa? Maza anapewa aibu za rejareja.
Kwanza mfano angeutoa Wapi?Ni mnafiki, why hakusema kabla?
Mbowe ana degree Kitenge kazungusha F4Elimu ya Kitenge na Mbowe zinafana pamoja na Mwenyekiti Mpya Kanda ya Nyasa ππ₯
Angesema kwa kujenga hojaKwanza mfano angeutoa Wapi?
Hiyo ni Nafasi ya Pascal Mayalla hadi baada ya Uchaguzi anastaafu kwa mujibu wa sheria πNaona wamejianzishia Uzi eti ateuliwe propagandist na kwa uongozi wa wasasa lazima anase
Toka bitozo aseme anasomaga jf, watu wanajifungulia mauzi mengi kujipigia debe π€£Naona wamejianzishia Uzi eti ateuliwe propagandist na kwa uongozi wa wasasa lazima anase