Maulid Kitenge: Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya, haiwezekani tukio litokee Korea na nyie mko huko lakini msilitolee Ufafanuzi!

CCM wamekwenda Korea kutembea na kuchoma fedha za maskini wa nchi hii huku wakiongeza madeni na kuuza nchi kwa wageni bila akili nzuri.
 
Moderator Sielewi kwanini nyuzi kuhusu taarifa ya ikulu iliyotoka kwa bahati mbaya na jina la marehemu haziunganishwi au hata zingine kufutwa... leo nyuzi nyingi hapa ni kuhusu hiyo ishu. Mbona nyuzi zangu nyingi tu huwa mnazifuta? Uzi wangu jinsi nilivyosalitiwa na mke wa jirani yangu kwa kuchepuka na mwanaume mwingine mliufuta... uzi wangu nikishauri kina dada kusaidia wapenzi wao kuacha punyeto mliufuta.
 
Kuna mamlaka za kuthibitisha kama unayo ama la, je TCU wamewahi kuikana? mafanikio ya Mbowe na wewe yapo sawa?
Nilishakwambia mara nyingi wakati Freeman ni mlinzi pale kwa Mtei na Makani mimi nilikuwa nagonga Bia aina ya Crown pale Kilimanjaro hotel πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Aisee badala ya ku deal na kutokuuzwa vitu au ni vipi maliasili zetu zinalindwa tunajadili ni vipi tunaweza kuficha kinachoendelea....

 
Nafikiri hajaona gagulo la venus!
 
Asante sana. Huyu jamaa ni hovyo mno. Ni kama mbwa koko kwa kuchumia tumbo. Ikulu mawasiliano hawezi kukaa mtu mwenye weledi kwa sababu ukiwa pale inabidi ujitoe ufahamu.
 
Huyu Marioo naye anafikiri atapewa yeye hiyo nafasi? Huyu lazima awake ikitajwa DP World kwani naye alidakishwa fungu .
 
je anataka kutuambia kwamba hii ndiyo sababu ya Zuhura kuondoka Ikulu? Je anajua pengine ni maandalizi ya Zuhura kuja kuwa kiongozi siku za mbele? Huyu jamaa anajiona anajua kila kitu kuna vitu vingine vya kukaa kimya na kama hakuna sababu iliyotolewa unatakiwa uheshimu. je akiambiwa Zuhura ameomba kupumzika ndiyo amepelekwa kuwa naibu Katibu mkuu? yeye Kitenge anautaalamu gani kuchambua mambo ya serikali yeye asubiri jioni kufanya mazoezi daraja la Tanzanite na kujadili kina Fei, Azizi K tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…