Loh! Pole binamu , nasikia jana ulinusurika kukatwa mapanga na wauaji wa ma albino, sasa ndo nini kutuficha wambea wenzio kuwa wewe ni albino jmani? Wambea hatubaguani, uwe mwizi mchawi, kipofu, kiwete wote tupo pamoja, pole sana na heka heka, uko mwanza na nyie mmezid khaa

Picha basi za klyn si keshafunga ndoa jameniii
Wewe msukuma pata hii wamefunga jmosi
Duuu Mengi anajilia tu wacha weee
Duuu Mengi anajilia tu wacha weee
Hawa watangazaji hawa ogopa sana wengi wanaosafiri sana Usa na uk hawana marinda na wengine wana mikataba huko ndio wanakojifichia wasionekana mikataba ya kishetani, hata hawa manabii hawa ni wengi ni mafriima....Huyu nguli wa michezo wa pale E-Fm Radio kila ifikapo weekend lazima awe London Uingereza. Kama Celeb tuna haki ya kudadavua hiyo mitoko!!
warumi una mpya gani hapa?